Mwandishi maarufu JF aliteswa sana baada ya yale Maswali

Fortilo

JF-Expert Member
Apr 10, 2012
5,762
17,261
Hii habari imenisikitisha sana

Kuna mwanafamilia mmoja wa Mwandishi huyo alisoma nae Tambaza anasema Mwandishi huyo maarufu humu JF aliteswa sana baada ya yale maswali.

Ilifika mahali alitamani kurudi kijijini na kama sio uhusiano wake na Rais Mkapa mambo yangekuwa mengine

Hii ni kwenye mjadala wa Kitabu maarufu chenye siri za kutosha za utawala wa awamu ya Tano CH

Pole sana mkuu, you have my respect on...

Kuna watanzania huwa wanapitia magumu kimya kimya kiuhalisia ila tunaishia kuwabeza humu ..

Narudia tena, pole sana kiongozi, una heshima yangu ya kutosha .. ikikuoendeza utasema siku ikifika.
 
Sasa si umtaje huyo mwandishi! Au na wewe unaogopwa kuteswa?
 
Pasi shokaga kaya, Iyala lashilaga, Pasi Shokaga Kaya, Iyala lashilaga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…