Jumanne Mwita
JF-Expert Member
- Nov 18, 2014
- 517
- 1,352
Nilipita mahali leo ( uswahili kidogo) nikaona maandazi aina ya half cake Dukani kwa mangi nikayatamani. kwakua sijayala muda mrefu nikasogea kwenda kuuliza bei nikaambiwa 200 moja, muuzaji akaniambia naomba hela yako iwe ya chenji sina chenji zinasumbua. nikamwambia nina elf 1 akasema unataka mangapi nikamjibu mawili yananitosha
Akasema bado chenji ni shida dada, pembeni ya duka kulikua na kijana wakiume miaka 18 - 19 amevaa uniforms za shule. nikamwita mdogo wangu unataka half cake? njoo tugawane tumalize hii elf 1 mimi mawili yananitosha.
Akasema hiyo hela dada kuliko nile andazi niongezee shilingi 100 namimi nina 100 iwe 200 nipande gari niende nyumbani.
Nikamuuliza nyumbani wapi akanitajia, nikasema bora wewe uchukue hii elf 1 upate nauli ya kwenda nyumbani leo na kuwahi kesho shule. mimi half cake tena sio lazima nilishakula chakula ilikua hamu tu.
Akaniambia kweli? nikasema ndio. akashukuru tukamaliza
Baada ya hapo akavuka upande wa pili wa barabara kulikua na wanafunzi wenzie wakike kama 4 na wao wamevaa uniforms alivyoungana nao tu mara mmoja wao akaaanza kuzungumza nae
Nikajaribu kufuatilia yale mazungumzo kama sioni kitu, kilichotokea unajua nini? 🤣🤣🤣🤣😁 yule kijana kampa mmoja wa mwanafunzi wakike ile elf 1
Kume yule mwanafunzi wakike alimwambia ana kiu ya soda , muda huo huo yule binti aliepewa ile elf 1 akaja Dukani nilipokuwepo kununua ile soda
Sasa nikajiuliza huyu kijana vipi si kasema hana nauli? atafikaje nyumbani na kesho itakuaje? nikasema au ndio Uanaume? 😂
Eti hii imekaaaje?
C&P credit Prisca Kishamba