Azarel
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 28,485
- 39,676
Habarini wadau,
Ramadhan Kareem to all Muslim in here...!
Wewe ni mwanaume mfupi, Andunje, Nyadundo kama mimi, kwanini una kiherehere cha kuoa Mwanamke mrefu kukuzidi? Mwanamke akikuzidi urefu ni sawa na kukuzidi akili. Kwanza hata wenyewe hawatupendi Wanaume wafupi
Huu ni utafiti rasmi kwa dunia nzima na references zipo, sijawahi kusikia Mwanamke anasema anapenda mwanaume mfupi hasa mwenye kitambi
Kwanza kumpata lazima uwe na pesa. Na yeye atakukubali kwa pesa zako ila sio kwa sura yako, umbo, na caring nyingine yoyote.
- Mwanamke Mrefu ukipiga naye picha utakosa hata confidence na hataipenda hiyo picha....kifupi picha itakuwa mbayaa
- Mwanamke Mrefu kukuzidi hata kutembea nae au kwenda nae popote hata kama mmependeza vipi utakosa confidence nayeye hatafurahia hilo
- Mwanamke mrefu kukutambulisha kwa wenzie au kwa ndugu zake halafu kama umekaa ukaambiwa usimame kuna watakaoanza kukucheka, watasema ana hela lakini......blah blah kibao
- Mwanamke Mrefu kukuzidi hata mkilala kitandani na wakati wa sex na kuchange positions...hahaha sisemi zaidi
- Mwanamke mrefu kukuzidi siku mkizinguana atapata sababu ya kukusema vibaya au kukutania katika jamii
- Mwanamke mrefu kukuzidi siku mkigombana ataweza kukupiga, hasa makonzi
NB: Kama wewe mfupi usimuoe mwanamke mrefu kukuzidi hasa kuanzia 8 Inches na kuendelea mpaka futi kadhaa, muoe mfupi ili uenjoy mapenzi na kuwa huru katika maamuzi na mitoko mbalimbali
Shauri yenu Andunje wenzangu muonekane Watoto mbele ya wake zenu.
====
Pia soma: Mwanaume mfupi kumuoa mwanamke mrefu