Mimi ni mgeni humu ila mimeona tu kuanza kwa hii kitu kwa sababu kuna familia ya rafiki yangu wana mgogoro toka mkewe ende kusoma huko Austria. Jamaa ana wivu balaa mpaka anaweza tu kuimagine mkewe analiwa na kuanza kutoka jasho, anatetemeka na kung'ata meno yani ni kama anamuona wife anavyoshughulikiwa wakati hata sio kweli. Mara amwambie weka skype, mara weka viber nikuone kama kweli uko darasana.
Jamaa mpk amekonda aisee huwezi amini kabisa kuwa WIVU ndio unamsumbua. Hivi wanaume inakuaje mtu anawivu kiasi hicho? Mke mwenyewe kaolewa tayari 'WAZEE WA MIKASI' walishazindua, hivi kwa nini uwe na wivu kiasi hata cha kuua mtu?
Kwani ikiliwa inaisha? au inaweka kovu? Wivu wa nini wakati wewe ndio unamiliki mzigo? Niwashauri tu wale wanaume mnao ona wivu sana kama wife analiwa na mtu mwingine jaribu kuwa na subira, wivu wako usiwe kama wa huyu jamaa khaaaa!!
We mwanamke huko Austria tafadhali mmeo anakonda kwa ajili yako, ptuuuu!!
KheeeeeHakuna kitu kinachouma kama "kuchapiwa" yaani kitu uliisha zoea kuigaragaza unaigeuza kulia na kushoto halafu leo unasikia kuna kenge moja nayo inamgaragaza unaweza kuua mtu ndani ya sekunde, aisee wanawake kuueni makini na hivyo vikojoleo vyenu sisi tuna vithamini mno.
Mwanamke akiamua kugawa hata kama unaishi naye kwa kupika na kupakua atachapwa. Siju ni hulka ya makabila Fulani kama wazaramo ,wanyakyusa, wapare, wahaya. Hizi sim siku hizi zinawafanya wake za watu wachapwe kama hawana akili nzuri. Hapa tu kuna wengine wakiingia hapa ni kutafuta akipata anatoka kupeleka hajui kua yeye ni mke wamtu. Wivu unapokuja kumtimizia kila kitu lakini unasikia dereva wa bodaboda anachuku.
Mwanaume hata awe malaya kiasi gani akisikia mtu anamvizia mkewe hata kwa mbali lazima wivu umpande.Huyo jamaa itakuwa labda alishamfumania mkewe kipindi cha uchumba.Au alimnyang'anya mtu mchumba akamuoa.
Kama wewe ni rafiki wa kweli wa jamaa please tafuta chanzo cha huo wivu then mshauri mwenzio positively ili ndoa yao idumu.