Mwanaume mwenzangu katika pitapita zako usiombe ukutane na wanawake wa sampuli hii hakuna rangu utaacha ona.

Expensive life

JF-Expert Member
May 2, 2020
2,615
8,438
wanawake wa namna hii hakuna anachowaza zaidi ya shughuli, kwa masifa anatunza malaki ya pesa, hawazi maisha au baadae ya watoto. Yeye ni shughuli ukiwa hauna sasa anaenda kukopa huko, na vitu vya ndani anaweka bondi.

Mjamba wangu alioa mwanamke wa sampuli hii, mkewe akiwa hana pesa ya shughuli anaweka bondi hata kiwanja, mjomba alivumilia baadae akapiga chini na alimwachia madeni lukuki.

Dera jipya likitoka analo, kijora kipya anacho . Mtaa mzima anatamba kuwa yeye ndio anamavazi mazuri na mengi kuliko wengine.
 
Hahahaaa... mbona sioni shida, yupo kwenye chiken party kwa raha zake
 
Back
Top Bottom