Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 15,583
- 23,400
sisi ambao tunazo za kutosha inakuwaje?Sifa za mwanaume:
Awe na upungufu wa nguvu za kiume au uume mdogo.
Salamu!
Kila mtu ana mapungufu yake na kuwa na mapungufu hayo kusimzuie kupata faraja na upendo. mimi ni mwanamke, nahitaji mwanaume ambaye MUNGU akipenda baada ya kufahamiana tuwe mume na mke.
Sifa za mwanaume:
Awe na upungufu wa nguvu za kiume au uume mdogo.
Mkristo
Miaka 29-34
Kazi halali inayomwingizia kipato
Elimu kuanzia kidato cha sita.
Sifa zangu:
Sina upungufu wa nguvu za kike, mkristo, miaka 28, nina shughuli ya kuniingizia kipato, Shahada ya kwanza.
ALIYE TAYARI TUKUTANE PM, kwa kufahamiana zaidi.
NB: "Everyone has a right to love and be loved"
mbona wacheka jenniec
annampole jamani usizibie wahucka riziki ..... wenyewe wanasema wamekumbukwa leoSidhani kama kuna kijana ambaye hana nguvu za kiume halafu yupo jamii forum tena love connect...
AMENMungu atimize haja za moyo wako shosti!
Utapata atakae kufaa dear.sisi ambao tunazo za kutosha inakuwaje?
maana vigezo vingine tunavyo dad.
na kama unahitaji wa hivo sasa kazi yake home ni nini?
Duhhh...back hujapata kuhamia na chako duski dauni?....fanya hivi. ...hands kwa mganga anayetibu nguvu za kiume...kamata mteja wake mmoja....kuhusu kibamia kila mwanaume huwa anajihisi ana dushe dogo...sasa wee kamata unayeona saizi yake inaendana na papuchi yako huyohuyo.Utapata atakae kufaa dear.