Genius Man
JF-Expert Member
- Apr 7, 2024
- 994
- 2,289
Katika uhalisia hili suala la wanaume kuowa wanawake wengi sizani kama lina maana yoyote nafikiri mtu mwenye IQ kubwa sana kwake kuowa wanawake kibao ni udhaifu flani alionao na ni kujitoa akili ni jambo lisilokuwa na maana yoyote.
Mwanaume mmoja anapaswa kuwa na mwanamke mmoja Mke mmoja anatosha kwenye kila kitu unajua Mwanaume kamili unaejielewa lazima ufikiri mke mmoja anatosha lakini mwanaume ulie dhaifu unae endeshwa na tamaa za mwili na uzinzi huna uthibiti wa uwanaume wako ni dhaifu na una IQ ndogo ndio sababu ya kutaka wanawake wengi.
"mwanaume mmoja mwili mmoja na mwanamke mmoja mwili mmoja" huyu alieanzisha habari za wanawake wengi na wao wanao fuata ni wanaume dhaifu sana.