Daydream
Member
- Oct 26, 2023
- 58
- 334
Wanaume walio ndani ya ndoa ambao huwa wanapigwa na wake zao naweza kusema ni wazembe kupita kiasi
Mwanaume unapotongoza mwanamke lazima uangalie key factor kwamba sawa huyu mwanamke nimempenda nataka nimtongoze lakini je nikishamuoa na akawa mke wangu je nitaweza kumudu kupambana nae pindi ukitokea mtafaruku baina yangu na yeye au atanipiga mpaka nichakae
Kumekua na kesi nyingi sana za baadhi ya wanaume kupigwa na wake zao na wengine wanaona hata aibu kutoka hadharani na kusema kwamba wamepigwa na wake zao na badala yake wanaugulia maumivu ndani kwa ndani.
Wewe mwanaume unaona kabisa mwili wako ni mwembamba na huna mazoezi lakini unaenda kuoa mwanamke mnene kama Simtank ambapo mwili wako kwake unaingia karibu mara tatu huwazi kwamba siku mkizinguana itakuaje
Binafsi naona baadhi yetu wanaume huwa tunafanya uzembe sana katika kuchagua wenzi wetu wa maisha
Sikatai kuna baadhi ya wanawake wananenepa zaidi wakishaingia kwenye ndoa lakini pia kuna wanaoolewa wakiwa tayari ni vibonge kama Simtank
Huu ni uzembe wa hali juu ndomana wanachapika na wake zao
Je wewe mdau wa JF upi mtazamo wako juu ya hili ?