Mwanaume hakuumbwa kulelewa. Mwanaume ukikubali mwanamke akulee unajidhalilisha na utadhalilishwa utake usitake. Wanaume tafuteni vyenu acheni kupenda mteremkoo. Muoneni mwenzenu alivyodhalilishwa! Kwa kuangalia hii video unajua tu kua huyo bidada ndo anamlea jamaa! Nimemuone huruma huyo kaka.
Jamani mkichokana achaneni kwa uzuri tu haina haja ya kudhalilishana sijui tuvumiliane matokeo yake mnadhalilishana tu.
Jamani mkichokana achaneni kwa uzuri tu haina haja ya kudhalilishana sijui tuvumiliane matokeo yake mnadhalilishana tu.