Acha kujidanganya....watu wanahonga na pete wanavalisha....Ndo sababu mnazeekea nyumbani na kushinda kupishana kwa waganga wa kienyeji eti kwa nini hampati waume, kwa haya mawazo mtagongwa sana kisha kutupwa kama kondom.
Endelea lujidanganya, kujipotosha na kujipa moyo.Acha kujidanganya....watu wanahonga na pete wanavalisha....
Nimekupenda bureWewe unavyopanga mkakati wa kumnasa, yeye anapanga makakati kwa kuzinasa. We unafikiri unapomuendea kwa lengo la kumtumia yeye anakua anawaza nini?
Mahusiano ya kweli na ya muda mrefu yanaendewa kimkakati. Hukurupuki tu kumtangazia mtu mahusiano. Na kwa kuwa hukurupuki, naye hatakukurupukia.
Matunzo kwa mwanamke ni muhimu vijana, Mwanamke ni recepients sio wa nanii tu, but your love and care... care ndio hio kukidhi mahitaji yake yote yalio ndani ya uwezo wako. If you are not ready, Dont approach them (full stop) sio kuja kulalamika lalamika kama watoto humu. Be a man and carry yourself.
Kwani mtoa mada ni ke?Ndo sababu mnazeekea nyumbani na kushinda kupishana kwa waganga wa kienyeji eti kwa nini hampati waume, kwa haya mawazo mtagongwa sana kisha kutupwa kama kondom.
Money is not everything..but everything needs moneyJapo maisha siyo kutesa kila siku... pesa ndiyo kila kitu...
Somethings don't need money. Like the air you are breathing. So not everything needs money.Money is not everything..but everything needs money
Mkuu mwanaume yoyote kama hana michepuko akishajua tu anapendwa atatoa mpaka sumuni ya mwisho. Lakini akijua tu weww ni tapeli ha ha ha sahau. Hawa wenzetu sio binadamu siku hizi. Pesa inatoka yenyewe kwa mtu unaye mpendw. Kama unanya kazi automatically utaona kwenye budget yako ya mwezi ushe mtengea chake ila tu usimwambie maana akijua ata dai mapemaWewe unavyopanga mkakati wa kumnasa, yeye anapanga makakati kwa kuzinasa. We unafikiri unapomuendea kwa lengo la kumtumia yeye anakua anawaza nini?
Mahusiano ya kweli na ya muda mrefu yanaendewa kimkakati. Hukurupuki tu kumtangazia mtu mahusiano. Na kwa kuwa hukurupuki, naye hatakukurupukia.
Matunzo kwa mwanamke ni muhimu vijana, Mwanamke ni recepients sio wa nanii tu, but your love and care... care ndio hio kukidhi mahitaji yake yote yalio ndani ya uwezo wako. If you are not ready, Dont approach them (full stop) sio kuja kulalamika lalamika kama watoto humu. Be a man and carry yourself.
Wajanja tunarekebisha maisha. yakiwa poa wadada wanakuja wenyewe, tunapiga halafu tunakomaa. akiondoka anakuja mwingine. fedha zinakuwepo tu kama chambo. akizitamani anagongwa halafu hazipati.
Ndio.Kwani mtoa mada ni ke?