Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 8,170
- 22,113
Jipende mwenyewe, usimpe mwanamke upendo ambao haujajipa wewe mwenyewe.
Wanaume wengi wanaweka pembeni mipango, furaha na amani yao kwa lengo la kumridhisha mwanamke.
Ngoja nikwambie ukweli kuhusu mwanamke. Mwanamke haridhiki, hakuna ambacho utamfanyia kikamtosheleza kiasi cha kutohitaji tena umanyie zaidi ya hapo.
Hili kuwa salama zaidi mbele ya mwanamke ipe kipaumbele furaha yako, ipe kipaumbele amani yako, yape kipaumbele malengo yako. Mwanaume weka misingi na kanuni zako and jilinde usi-fall in love bila kutumia logic.
Hata story yake atakayokuambia iwe ya kusikitisha kiasi gani usiiguse akiba yako, usimuonee huruma, ni mtego huo kaka.
Usimtukuze mwanamke, sio mkombozi wako uyo, ni stranger tu uliekutana nae ukubwani akaamua kujiweka kwako kwa masilahi yake.
I love you, i love you my brother.