Mwanaume halisi

Pyepyepye

JF-Expert Member
Jan 6, 2017
1,940
3,829
Hajipodoi
Hatumii pombe,
Havuti sigara,
Hapendi ugomvi,
Hapendi uzinzi,
Havai kata kei, ikionesha nguo ya ndani iliyo chafu harafu imetoboka.
Hampigi mkewe,
Hamkalipii mkewe bila sababu,
Hashindi kijiweni bila kazi,
Hufanya kazi kwa bidii,
Hafanyi kisasi,
Havai suruali zilizochanwa mbele, zikionesha vimapaja vigumu kama kuni.
Hamchukii binti kisa kamkataa
Hufanya mapenzi ya MUNGU,
Hufanya sala muda wote,

Kuwa mwanaume halisi.
 
Hmm! Mleta mada, wewe unazo hizo sifa zote?...
 
Mkuu zote izo ninazo ila umesahau zingne
 
Atakuwa mwanaume mlokole huyu,yaani hata gambe?sasa anywe nani kama mwanaume asinywe
 
Hanyoi kiduku, hafugi nywele, havai cheni bangili kacha, hatoboi masikio, havai mlegezo, hatumii mda mwingi kujipamba japo yuko smart, hana hasira
 
Zote hizo mbwembwe tu sifa ya mwanaume halisi ni kumridhisha mpenzi wake kwenye 6*6 basi .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…