The redemeer
JF-Expert Member
- Jan 28, 2025
- 1,142
- 1,954
Mwanaume chukua hii itakusaidia usiue, usijiue wala usiuawe
Iko namna hii;
Hakuna mwanaume mwenye ujasiri wa kuwa na uhusiano wa kimapenzi na mwanamke aliyeolewa isipokuwa mwanamke huyo amempa ishara kwamba yuko tayari.
Kama mwanaume, ukimkamata mke wako akiwa na uhusiano wa kimapenzi na mwanaume mwingine, tafadhali mshughulikie mke wako kwa sababu ndiye aliyekianzisha. Kwa kawaida, wanaume huwahofia wake za watu, lakini wake za watu huwatega wanaume.
We mwanamke gani kila wakati ukiombwa no unatoa ,,uvaaji sifuri unacheka na kila mtu,,marafiki zako ni wale wadangaji waio olewa..
Lazima kujipambanua ,,ukiwa mke wa mtu una kazi ya kumweshimisha mmeo
Kuwa fanya wanaume wengine wamsifu mmeo alijua kuoa ...na siyo wanaume kuonyeshana mtu rahisi wa kufanya naye mapenzi
Kaka MWAFRIKA 🙏
Sauti ya wasio na sauti