Mwanaume asipokua na pesa hujifanya ana mapenzi ya dhati mno na akishaipata huenda kwa wanawake wa type yake

Point of No Return 19

JF-Expert Member
Jul 2, 2023
200
462
Kwenye hizi novel nilisoma, niligundua kuwa mwanaume asipokua na pesa hujifanya ana mapenzi ya dhati mno
Na akishaipata huenda kwa wanawake wa type yake.

Kwakuyagundua haya.

Nawaambia wanawake wenzangu acha kuanza 0 (zero) na mwanaume.

Kwasababu akipata atakukimbia tu.

Happy new year.
 
Mwanamke ana kitu gani cha kujiweka level moja na mwanaume! Mwanaume ameumbiwa uwezo wa kuishi bila msaada wa mwanamke na maisha yakaenda. On the contrary (tofauti) mwanamke hawezi ishi bila mwanaume! Hata kama hajaolewa lazima kuna mme anayemkunja na kumwinamisha ili mambo yake yasogee! Kuweni na adabu!
 
Kwenye hizi novel nilisoma, niligundua kuwa mwanaume asipokua na pesa hujifanya Ana mapenzi ya dhati mno
Na akishaipata huenda kwa wanawake wa type yake.

Kwakuyagundua haya.

Nawaambia wanawake wenzangu acha kuanza 0 (zero) na mwanaume.

Kwasababu akipata atakukimbia tu.

Happy new year.
Wewe ni kahaba upo after money yaani pesa ndio determine factor kwako, kila siku nawaambia jitegemeeni bila kutolea macho pesa ya mwanaume muondokane na huu utumwa. Kwa scenerio uliyoisema hapa hapo suluhisho ni kutafuta hela zako mwenyewe hata akikukimbia baada ya kujipata na wewe pia pesa unazo za kwako.
 
Kwenye hizi novel nilisoma, niligundua kuwa mwanaume asipokua na pesa hujifanya ana mapenzi ya dhati mno
Na akishaipata huenda kwa wanawake wa type yake.

Kwakuyagundua haya.

Nawaambia wanawake wenzangu acha kuanza 0 (zero) na mwanaume.

Kwasababu akipata atakukimbia tu.

Happy new year.
Hawezi kukukimbia ila lazima atakuwa na michepuko.

Kwa wanaume,nawamegea Siri wanawake wanapenda wanaume wawe na pesa kidogo ili waweze kuwadhibiti.
 
Kwenye hizi novel nilisoma, niligundua kuwa mwanaume asipokua na pesa hujifanya ana mapenzi ya dhati mno
Na akishaipata huenda kwa wanawake wa type yake.

Kwakuyagundua haya.

Nawaambia wanawake wenzangu acha kuanza 0 (zero) na mwanaume.

Kwasababu akipata atakukimbia tu.

Happy new year.
Mwanamke hana kitu chochote cha kumpa uhalali wa kujilinganisha thamani yake na udhaifu wake mbele ya mwanaume hilo mkae mkilijua. Pia nyie mnaokataa kuanzia zero na wapenzi wenu tunawasubiria tuwageuze sextoy maana siku zote sisi wenye nazo tunaamini mwanamke hajanipenda mimi kapenda mali zangu.
 
Back
Top Bottom