Mwanangu makelele kitandani sio sifa pekee ya mke bora

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
76,019
159,771
Kelele zilisikia kutoka chumba cha Mpangaji mwenzangu, Nakufa, Niue mume Wangu, kill me, do me, you are so sweet. Sema nikupe utakacho... ni sauti ya binti aliyekuwa akilalamika kimahaba zikiambaatana na sauti za mtikisiko wa Kitandani.

Ghafla kwa ukali ikapenya sauti ya baba mwenye nyumba, mwanangu wacha ufala, Mke hatufutwi kwa ujuzi wa kelele za mahaba, tafuta Mke mwenye hofu ya MUNGU.
 
Kama wazungu walikua wanashuka (wanatiririka) basi jamaa hakumsikia hata!!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…