Mwanangu amepangiwa kusoma Mining Engeneering lakin yeye anataka kusoma Computer Engeneering, nifanyaje?

misunjo

New Member
May 31, 2024
1
2
Habari zenu wakuu?

Nina mwanangu amemalz o-level na amepangwa Mining Engeneering na TAMISEMI lakini yeye hataki anataka asome Computer Engeneering.

Je, nimuache asome anachoktaka ama aend 2 huko alipopangiwa na TAMISEMI?
 
Mwache asome anachokitaka, computer engineering ni nzuri pia.

TAMISEMI wenzako wana click tu vitufe vya keyboard, hawamjui mtoto ana talanta gani au interest zake ni zipi.
 
Chuo
Habari zenu wakuu?

Nina mwanangu amemalz o-level na amepangwa Mining Engeneering na TAMISEMI lakini yeye hataki anataka asome Computer Engeneering.

Je, nimuache asome anachoktaka ama aend 2 huko alipopangiwa na TAMISEMI?
Gan
 
Back
Top Bottom