LIKUD
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 18,578
- 34,699
Huyu msichana umri wake ni miaka 24. Kamaliza Chuo ( Diploma) mwaka Jana Sema kwa sababu kwa aina ya diploma aliyo kuwa anachukua ( Procurement) ilikuwa ngumu kupata kazi so alikuwa nyumbani tu kwa wazazi anasaidia biashara za nyumbani.
Perhaps alikuwa anasubiri kwenda Veta.
Uhusiano wangu Mimi na yeye. Ulianza mwaka 2021 akiwa bado Chuo anasoma.
Nature of Relationship:
It was an on and off relationship. Mimi binafsi sikuwa serious na yeye kihivyo to be honest alikuwa ni demu tu ambae tulikuwa tunakutana kwa ajili ya " Kufurahishana".
Ilikuwa tunaweza kukaa miezi mitatu hatujaonana tukimisiana tunapigiana tunakutana tunafanta yetu. Tunaweza tukafukuliza hivyo kwa mwezi then tukapoteana tena.
Kwa muda wote huo demu alikuwaga ananiambia ana pumu so zaidi ya Mara tatu alisha niambia habari za pumu etc.
Nyakati za baridi tulikuwa hatukutani kwa sababu alikuwa anashinda nyumbani kwao pumu ilikuwa inamsumbua Sana.
FAST FORWARD:
Wiki tatu zilizo pita nilimmiss nikamcheki nikamuomba tu meet akaniambia hatuwezi kwa sababu ya mvua hizi pumu Ina msumbua Sana.
Kama sikuelewa hivi nikaona kama ana nipanga vile. Nikamshawishi sana but in vain nikahisi labda kapata jamaa serious anamkeep busy. Nikampotezea sikumtafuta tena.
Leo asubuhi nimeamka nikiwa nimemmiss Sana nikasema ngoja nijaribu kumtext. Text haikujibiwa. Nikapiga simu ipo busy muda wote. Baadae simu inapiga tena Sauti ya kike mmama mtu mzima akanipa taarifa kwa MBA " Binti" amefariki tangu Jana jioni na mazishi ni Leo mchana...
Chanzo cha kifo ni pumu. Alibanwa na pumu akazidiwa Sana mpaka umauti ukamfika.
Ingawa theory ya mtaani inasema mtoto anae zaliwa na pumu huwaga haishi zaidi ya miaka 25 but still nilihuzunishwa Sana.
NIKAJIULIZA: WHAT IF KAMA NINGEMLAZIMISHA AJE KUKUTANA NA MIMI FARAGHA HALAFU AKAZIDIWA NA PUMU AKIWA NA MIMI? WHAT IF KAMA ANGEKUJA KULALA NA MIMI LET'S SAY KWANGU AU LODGE HALAFU AKABANWA NA PUMU LET'S SAY USIKU TUKIWA TUMELALA WOTE NIKAJA KUSTUKA ASUBUHI MTU HAYUPO DUNIANI INGEKUWAJE? FIKIRIA HUO USUMBUFU AMBAO NINGEUPATA?..
# Demu wako AKIWA na pumu ukamuhitaji aje magneton wakati wa baridi akakwambia pumu imembana, usimlazimishe aje. Muache mpaka akae sawa...