Siku zote asikuambie mtu, ukitaka umkamate mwanaume shutu umpikie chakula kitaaamu na kinachovutia basi utapendwa wewe sio kila siku mwanaume anaenda kula hotelini tuu wakati wewe mwenyewe ukipika kwa kuweka viungo vyenye ubora unafaa kua hotelia wa mpenzi wako.
Dumisha mapenzi kwa kupika chakula chenye umahiri.
Usichelewe ni PM uweze pata viungo kwa bei Poa. Hata mwanaume unaweza nunulia bibi ako Pia..Toroka uje.