Mwanamke sio mtu wa kumuamini kabisa kwa asilimia mia. Naombeni ushauri

Termux

JF-Expert Member
Oct 7, 2017
429
1,030
Habari wana JF, Nilikuwa na changamoto naitaji kushare na nyinyi ili muweze kunisaidia kimawazo,
Maana kuna kitu kinaniumiza sana katika Maisha yangu.

Mnamo Mwaka 2015
Nilikutana na binti wa kimakonde wakati nipo nmepata kazi yangu ya kwanza kwa wahindi, kama Full Stack Developer maana nilisoma Computer Science Pale DIT, mshahara wangu ulikuwa kama 1.2M per mouth ambao napata cash ktk account, Tulipendana nayeye alikuwa muhanga wa ajila za uwalimu wa shule za msingi, alikosa kazi kwa muda mrefu. Pindi nmekutana nae alikuwa ana kazi.

Tuliishi vizuri kwa furaha na amani takribani kwa miaka 3 bila shida yoyote, alinieleza Maisha yake aliyo pitia na changamoto za wanaume alio kutana nao. Ila wakati tunaishi katika miaka iyo mitatu nilikutana na changamoto moja aliniambia mtu wake wa mwisho katika mausiano alikuwa anaumwa sana ugonjwa wa moyo na baadae alifaliki dunia, kwaiyo kipindi anakutana na mimi nilikuta baadhi ya picha za yule kijana mwenzangu ambae alifaliki dunia kwa ugonjwa wa moyo. Ila mimi sikujaji sana Maisha yakaendelea.

Alinikuta nakaa ktk chumba na sebule, Tukaishi akawa anakuja home na mimi naenda kwao, wakawa wananijuwa kama mchumba wake, Kusema ukweli kipindi nipo nae kablaya kfanya mapezi nilipima nae HIV na baada ya kuona tupo sawa tukaendaelea kula ujana.

Baada ya kuona Afya zetu zipo sawa na salama, aliniambia mm bado nipo bikla kwaiyo ukinitoa bikla razima unioe, maana kwao walikuwa watu wa dini sana, siku ya kwanza kukutana nae kimwili niliumia sana ila ndo ilikuwa mara yangu ya kwanza kulala na mwanamke. Nilijuwa kawaida na sikumuliza mtu yoyote kuhusu jambo ilo.

Mwaka 2016 Nikaanza kuona baadhi ya tabia tofauti mara mda mwengine nikishika simu yake anakuwa ana wasi wasi, ilasikujali maana nilijuwa labda ajazoea mtu kushika simu yake. Baadae kuna namba nikawa naiyona sana katika call arafu anaonge nayo mda mwingi sana, sikuwaza wala sikutaka kumfatilia sana. Nilifikilia anaweza akawa ndugu zake wa kijijini. Baadae nikagundua sioni kijana ila yeye alinitambulisha kama Rafiki yake wa mtaani ambapo alipokulia. Baadae nilivyokuw na wasiwasi nikamshauli aifute namba na nikamsajilia namba mpya.

Mwaka 2017 Nilikuja kuona txt za kimapenzi na ile namba ambayo mm niliweka ktk diary yangu, na kuifuta katika simu yake na kumwambia kijana asimpigie tena. Maana ndo mwaka ambao nilipeleka posa kwao kwa ajili ya kufunga nae ndoa. Mwishoni mwa mwaka alipata ujauzito, baada ya kwanza kwenda clinic mara ya kwanza wote kwenda hospital kupima akakutwa na HIV ila cha ajabu mimi nilikutwa sina mambukizi yoyote.

Nililia sana usiku na yeye akawa ananiambia tuachane nilikataa maana niliomba ushauri kwa daktari akaniambia mtoto awezi kupata mambukizi na mm siwezi kupata mambukizi ikiwa anatumia vizuri dawa za ARV, Nilikubali kuishi nae akiwa katika ali iyo iyo na baada ya kujifungua na mtoto kufikisha arobaini kama sisi waislam mwaka 2018 nikafunga nae ndoa. Mungu alinijalia kupata mtoto wa kwanza wa kike

Mwaka 2018 tarehe 08/06/2018 nikafunga nae ndo na kuamia katika nyumba nzima maana si unajua maswala ya uzazi, ndugu wanakuja kumuona mtoto na mambo mengine, ila kipindi chote cha ujauzito niliishi nae mpaka anapata uchungu niliishi nae mpaka nampeleka hospital kujifungua na kipindi anatoka hospital alikaa kwa kwa muda wa siku tano tu na kurudi nikae nae, nilimkanda na kumsafisha, nadhani nilijifunza vitu vingi vya uzazi kupitia yeye. Na tulipendana sana bila ya kujali ugonjwa wake wa HIV.

Mwaka 2019 Kampuni yetu ilifunguwa tawi arusha nikawa nambiwa kila baada ya miezi tisa nenda nakaa kwa muda wa miezi mitatu na kurudi home dar, kabla ya kuondoka kwenda arusha nikaona kuna mabadiliko sana kama mke na mume, kuna program ya kulipia nika muwekea ktk simu yake na kuanza ku track kila kitu anachofanya ktk simu yake, nilifanikiwa kupata tena ile namba ambayo nilikuwa nimeiandika katika diary yangu kuwa anaonge nayo sana.

Nikaenda kwa babu nyumbani mzaa baba na kumuelewesha mambo ninayo kutana nayo katika ndoa, akanishauli kama nasafiri nimuache akiwa katika period nisiondoke mpaka akipata period, basi nikajichelewesha kazini mwishoe nikaondoka kuelekea arusha na kumuacha akiwa katika period, miezi mitatu ikaisha na baadae nikarudi home, niliumia sana baada ya kurudi home maana nilikuta vitu vingi sana katika computer baada ya kuanza kuangalia toka naondoka mpaka narudi, kila kitu nilikuta ata kama alifuta kule nilikuta na inaonyesha kama kimefutwa.

Nilipiga sana moyo maana niligundua kuwa ni mjamzito ila nilijikaza sana, bila yay eye kugundua kama najuwa, nilijitaidi kuto kuonyesha tofauti yoyote, aliniforce sana nilale nae na mimi sikukataa nil ilala nae angali nina Ushahidi katika computer, maana alikuwa anamwambia jamaa kuwa ajaziona siku zake. Baadae alikuja akaniambia mme wangu naisi nina ujauzito sikubisha nilimuonesha nimefurahi sana. Baada ya mimba kutimia miezi 5 nilishindwa kuvumilia maana mda mwingi kipindi cha usiku nilikuwa nakosa usingizi nabaki namuangalia akiwa amelala.

Inafika kipindi nachukuwa hadi kisu nataka kumuuwa kwa kumchoma choma, rakini moyo unasita nikimuangalia binti yangu mdogo asiye jua lolote, sikutaka mwanangu aje kupata shida kwa sababu yangu, niliisi ntaenda jela kwa kosa la kuuwa. Baadae nikaenda kumwambia babu mzaa baba wakaita kikao na tukaongea kama ndugu upande wetu mimi baba na babu nikaulizwa vipi unataka kuendelea nae au tuwatalifu wazazi wao, bas moyo wangu nikashauli tuongee na wazazi wao.

Ikapangwa tarehe ila bado mimi sikumwambia chochote mke wangu. Siku ya kikao ilipo fika nilienda kwao na familia yangu bila ya yeye kujuwa chochote. Tukaonge baadae wakanipa option ya kuchaguwa mm nikachaguwa kuachana nae. Aliitwa akaja na akakili japo aliomba msamaha sana ila mimi nilikataa kuendelea nae, tukamuacha kwao na sisi tukaondoka.

Mwaka 2020 Baada ya kujifungua nilimpa taraka zake zote, na kama kawaida yangu kila nnapopata mda naenda kumfata mwanangu nakaa nae weekend siku za kazi namrudisha kwa mama yake. Napeleka pesa za matumizi kama kawaida, baada yam waka mmoja mdogo wake wa kike alinitafuta na kuanza kunipa mkanda mzima sasa, kuwa yule jamaa ambae nilikuwa naongea nae alikuwa ndo mwanaume wake wa kwaza ambae kipindi sijakuwa nae jamaa alikuwa anatambulika nyumbani, na kipindi mimi nipo nae jamaa alikuwa ameenda kusoma urusi, maana alimuahidi akasome akirudi watakuja kufunga ndoa na jamaa now ni mwanajeshi, ndo yupo nae hadi hivi sasa, maana nilipo sikia maneno ayo niliumia sana maana alikuwa anajuwa alafu alinificha, kile kitendo kilinifanya nilale nae yule mdogo wake wa kike ili kulipiza kisasi. Aliniambia mpaka siku anakuja kwangu kumtoa bikra ilikuwa sio bikra bali aliniweka shabu sijui inaitwa, maana iyo mm sio mwanaume wake wa kwanza. Nilijitaidi na mimi kumumiza ili ajue na mimi nmelala na mdogo wake kama revenge, na niliweza wakagombana na mdogo wake.

Mwaka 2021 Nikaona naanza kunyimwa mtoto siku za weekend, na kuanza kuwekewa vizuizi vya kumuona mtoto maana wazazi wake wapo chanika now baada ya kustaafu kazi za serikari, na mwaka huu alipata kazi ya kuwa mwalimu ya shule ya msingi, ambayo ipo mkoani ambapo napajuwa mpaka shule anayo fundisha. Najitaidi sana kumbembeleza ili niwe karubu na mwanangu naona inakuwa ngumu sana. Baadae na mimi nilibalikiwa kupata mtoto mwengine wa kiume, nilimsahau kwa muda mfupi tena na machungu yakapungua ktk Maisha yangu.

Mwaka 2022 Huu mwaka nmepatwa na jinamizi la kumuota mwanangu wa kike wa kwanza kila ninapojitaidi kulala, nayeye bado ataki mm niweze kuwa karibu na mwanagu wa kike, maana now bado sijaowa ila naishi na msichana tu tumezaa mtoto mmoja, maana mara ya mwisho kuongea nae baada ya kugundua nina mtoto mwengine anasema atabadilisha jina la baba la mtoto aitwe jina la baba mwanajeshi. Naombeni ushauli wadau naweza kumpata mwanangu kwa kutumia sheria au nafanyaje.

Maana ndo mwanangu wa kwanza naumia sana damu yangu ikipotea bule bila sababu yoyote maana naona kila siku nazidi kupagwa na mwanangu wa kike naombeni ushauli
 
pole sana mkuu
Ukitaka uishi muda mrefu na AFYA njema katika hii DUNIA usimuonee HURUMA MWANAMKE

ipo hivi pamoja na blahblah nyingi anazokuonesha mwanamke anakupenda sijui ninini na ninini
amin nakuambia mwisho wa yote mwanamke anachitaka kwako ni PESA

sawa na wewe pamoja na blahblah nyingi huduma lukuki kwa mwanamke kumuonesha
kiasi gani unamjali na kumthamini lkn mwisho wa yote ni ili akupe K*MA useleleke nayo akibania K*UMA na Huduma zinakata taratibu km si ghafra

sasa mkuu kwa DUNIA ya sasa na umri ulonao ukiamua kuwa na mwanamke katika uhusino
Focus kwa kila hila na nguvu za ushawishi iwe kipesa au ahadi za uongo ili upate K*MA/PAPUCHI/MBUSUSU/MBUNYE/KITUMBUA uburudike nayo
kwan WANAWAKE ni CHOMBO cha starehe tu
sasa ukiwekeza MOYO AKILI MAPENZI na MATEGEMEO kwa mwanamke Utakufa siku si zako na kumuacha MWANAO YATIMA

kuhusu MSAADA unaotaka ipo hivi USTAWI WA JAMII haipo kwa ajili ya Wanawake tu kwenda kudai pesa za MATUMIZI tu pekee
USTAWI WA JAMII inasimamia KESI kama hizo zako
PELEKA shauri lako USTAWI WA JAMII atapewa thamasi ataitwa mtakaa Chini wote pamoja mtasolve hiyo issue
BETTER CALL SAUL siku mkiitwa pamoja USTAWI
LAWYER atambana kwa vipengele unaweza ukapewa mtoto umlee wewe yeye akapokonywa
FB_IMG_1657616290960.jpg
 
pole sana mkuu
Ukitaka uishi muda mrefu na AFYA njema katika hii DUNIA usimuonee HURUMA MWANAMKE

ipo hivi pamoja na blahblah nyingi anazokuonesha mwanamke anakupenda sijui ninini na ninini
amin nakuambia mwisho wa yote mwanamke anachitaka kwako ni PESA
Asante ndugu nmekuelewa kwa ushauli wako Wacha kesho nianze kutafuta
 
pole sana mkuu
Ukitaka uishi muda mrefu na AFYA njema katika hii DUNIA usimuonee HURUMA MWANAMKE

ipo hivi pamoja na blahblah nyingi anazokuonesha mwanamke anakupenda sijui ninini na ninini
amin nakuambia mwisho wa yote mwanamke anachitaka kwako ni PESA

sawa na wewe pamoja na blahblah nyingi huduma lukuki kwa mwanamke kumuonesha
kiasi gani unamjali na kumthamini lkn mwisho wa yote ni ili akupe K*MA useleleke nayo akibania K*UMA na Huduma zinakata taratibu

sasa mkuu kwa DUNIA ya sasa na umri ulonao ukiamua kuwa na mwanamke katika uhusino
Focus kwa kila hila na nguvu za ushawishi iwe kipesa au ahadi za uongo ili upate K*MA/PAPUCHI/MBUSUSU/KITUMBUA uburudike nayo kwan WANAWAKE ni CHOMBO cha starehe tu
sasa ukiwekeza MOYO AKILI MAPENZI na MATEGEMEO kwa mwanamke Utakufa siku si zako na kumuacha MWANAO YATIMA

kuhusu MSAADA unaotaka ipo hivi USTAWI WA JAMII haipo kwa ajili ya Wanawake tu kwenda kudai pesa za MATUMIZI tu pekee
USTAWI WA JAMII inasimamia KESI kama hizo zako
PELEKA shauri lako USTAWI WA JAMII atapewa thamasi ataitwa mtakaa Chini wote pamoja mtasolve hiyo issue
BETTER CALL SAUL siku mkiitwa pamoja USTAWI
LAWYER atambana kwa vipengele unaweza ukapewa mtoto umlee wewe yeye akapokonywa
View attachment 2305180
Maelekezo mazuri kwetu wanaume.
 
Back
Top Bottom