situjadiriane
Member
- Jan 5, 2023
- 40
- 49
Ndugu wana JamiiForums naomba kuuliza swali? Swali langu linaweza kuonekana la kawaida Ila lina maana kubwa wengine husema uzuri wa mwanamke ni tabia. Wengine husema uzuri wa Mwanamke ni sura.
Je kati ya haya mawili sura na tabia lipi lipewe kipaumbele ninapochagua mchumba?
Naomba kuwasilisha
Je kati ya haya mawili sura na tabia lipi lipewe kipaumbele ninapochagua mchumba?
Naomba kuwasilisha