Bani Israel
JF-Expert Member
- May 27, 2016
- 1,765
- 3,571
Ndugu wanabodi nina swali hapa. Japo muda umeenda ila Nimeshindwa ling'amua kuhusiana na mzunguko wake ameniuliza ila nimeona nitafute wajuvi wa wanisaidie.
Mzunguko wake ni wa siku 28, ila bleed anaenda hadi siku 9 japo kuna kipindi huwa kawaida zinaishia 5,
Swali lake je? hii hali ambapo anapata bleed siku 9 vipi kuhusu siku za kupata mimba huwa ni sawa sawa na zile ambazo anapata akiishia siku 5 za bleed ambapo ovulation huwa siku ya 14 ila vipi mwezi ambao anapata bleed siku 8-9?? Ovulation huwa hiyo hiyo siku au inabadilika??
Natanguliza shukrani.