Mwanamke kukosa hamu ya tendo

mtoto mdogo

JF-Expert Member
Aug 6, 2014
501
130
Habarini wakuu,

Leo nimekuja na tatizo jingine naona ni kubwa sana na linaweza kuniharibia mahusiano yangu. Nina mahusiano na binti mmoja ninampenda sana. Nina mpango wa kumuoa ila tatizo ni kwamba ana hali ya kukosa hamu ya tendo la ndoa.

Mara zote nilizowahi ku sex nae nikifunga goli moja hataki tena kuandelea. Hapendi kuongelea mambo ya mapenzi. Nikisema nikae kimya nisimuombe gemu ndio anajisikia raha. Mara nyingi nikimuuliza anadai hana hamu ya tendo kabisa.

Najisikia vibaya kumuacha, sipendi kumsaliti kwa michepuko.

Nisaidieni, tatizo linaweza kuwa ni nini?

Nimsadie vipi.

Asanteni sana. Ni usiku mno ila ndio mida hii nimeanza tumefika katikati hataki tena.
 
Una umri gani na huyo mpenzi wako je..?? Sema wataalamu wa saikojia wakupe msaada unaoendana na rika lako.,,
Yumkinipo umri ndo chanzo cha shida yote...!
 

Pata picha hayo ndoa maisha yenu ya ndoa miaka yote hiyo,

Umeshapata eee
Haya jibu unalo
 
Mkuu hilo tatizo dogo sana weka namba yake ya simu hapa wajuzi tutamtafuta tumtibu kisha atarudi kwako swaafi kabisa na atakuwa anakuomba game mwenyewe.

Angalizo; Tiba hii ni endelevu na itakuwa kila mwezi anakuja kuchukua dawa kwangu na lazima anywe akiwa mbele yangu
 
Haha utani huo
 
Kuwa romantic mkuu...si ndy nyie mliokuwa MNA SUPPORT MWANAUME Kunuka KIBEBERU? Matokeo ndy hayo nkuu....JARIBU kuwa sexy...romantic... Sidhani km ataruka mkuu..
Huyo demu wako hana feelings na wewe...mkuu..angalia anapenda nn..then zama humo..ili uiteke akili yake mkuu....wanawake wanahitaji utulivu sn kuwajuwa wanachotaka....kama ni wale WANAUME harufu ya BEBERU..jaribu kupulizia MANUKATO....lazima atataka kukukumbatia kila wakati...mkuu.....hakuna mwanamke anayependa HARUFU YA BEBERU MKUU...hakuna NAMNA MKUU..
 
Asante boss
 
Mkuu wanawake asikwambie mtu vitu vizuri tunavipenda tena wanawake wengi,ila kwa kwanza usafi wa mwili meno na kauli,mapenzi yako wewe kwake ndio yatamfanya afanye vitu ambavyo hajawahi fanya,nxt time ukienda ebu badilika kama ulikua unaenda kama mwanajeshi mara hii nenda umependeza unanukia vizuri usiwe na papara yakumparamia,ongea nae
jaribu kusoma mind yake yuko kwenye mood gani,mwanamke unaweza kua unanuka Mdono au Miguu uka mchefua nafsi yake akawa hana hamu hata ya kukuona,na akija kukuona ujue umelazimisha na hatokawia kukwambia nataka niende home...
 
Maskini mtoto mdogo

haya jaribu kumpa pesa maana nyege hazinaga kiburi kwa pesa.

Tatizo hilo kama hana hamu kabisa lilitokea udogoni kitovu kilivyotoka kama kilidodokea kwenye k kwisha habari yake. Yaan ni kama mtoto akidondokewa na kitovu akiwa mdogo ka dushe kanalegea kama mlenda.

Pole mdogo wangu, ila kama sio kitovu, basi jaribu misimbazi maana duniani kuna mengi. Wanaume wengi tunawafanyia umafia basi hawajiongezagi kuelewa na vile kama hakupendi ila ndo anaogopa kukwambia ndo hivyo.

Wakubwa wamenielewa
 
Asante sasa nitamuulizaje hilo la kitovu?
 
Sawa nimeelewa ila ni everyday, goli moja tu basi hataki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…