Mwanaume halisi kamwe hawezi kumuumiza mwanamke. Kuwa mwangalifu pindi unapomliza mwanamke. Kwasababu Mungu anahesabu machozi yake.
Mwanamke alitokana na ubavu wa mwanaume. Si kwenye miguu yake ili kukanyagwa. Sio kichwa chake ili kuwa juu yake. Lakini kwenye upande wake ili kuwa sawa. Chini ya mkono ili alindwe. Na baada ya moyo ili apendwe.
Wanawake wa miaka gani wasipigwe?Dr nadhani unajidanganya kufananisha wanawake hawa wa leo na mama zetu!
Hawa wa leo bila ngumi mbili-tatu mambo ndani hayaendi
No siyo ngumi bali mtama mmoja maridadi tu huwa unawafanya watii baadaeTeh teh..Mkuu hivi unaanzaje kumtia ngumi mtt wa kike aisee?
Teh teh..We jamaa hauko seriousNo siyo ngumi bali mtama mmoja maridadi tu huwa unawafanya watii baadae
Daah ungekuwa mke wangu then ulete za kuleta lazima ule mbata. Inatakiwa ujue ninj wajibu wako na kipi unachitakiwa kutenda.siku my man alivyonyanyua mkono na kunipiga ni siku iliyobadilisha kila kitu kwenye maisha yetu, sijui namuonaje hata aongee kitu kinapita kulia kinatokea kushoto, nimemshusha thamani kabisa, tunaishi tu siku ziende naigiza kila kitu and i am not committed anymore.
ewe mwanaume usimpige mkeo na ukimpiga akakaa kimya usiamini umeshinda, unaharibu sehemu kubwa sana ya mahusiano yenu.
unaamini ukimpiga atatenda utakacho?Daah ungekuwa mke wangu then ulete za kuleta lazima ule mbata. Inatakiwa ujue ninj wajibu wako na kipi unachitakiwa kutenda.