Rahidin73 Member Oct 25, 2024 23 30 Nov 10, 2024 #1 Mwanamke anaweza kataa kudate na Mwanaume anayeishi kwa Mama yake, Lakini yuko tayari kudate na Mwanaume anayeishi na mke wake.
Mwanamke anaweza kataa kudate na Mwanaume anayeishi kwa Mama yake, Lakini yuko tayari kudate na Mwanaume anayeishi na mke wake.
M Mzee wa kupambania JF-Expert Member Aug 14, 2022 20,909 52,578 Nov 10, 2024 #2 Ni wanaume tu ambao wanaweza kudate na wanawake walio broke hawana kazi wala kipato Ila ni ngumu sana mwanamke kudate na broke man kidume anayejitafuta Ndio maana mwanaume ukijipata lazima uweke standards za maana za mwanamke wa kufanya naye maisha Usikubali kufanya maisha na mwanamke ambaye alikudharau wakati unajitafuta Usikubali kufanya maisha na mwanamke ombaomba na masikini, aina hii ya wanawake ndio ambao huwa wanawadharau wanaume wanaojitafuta Angalia ana mchango gani katika mahusiano yenu kama mchango wake ni uchi tu tena ulio used hit her and run Never date a woman who doesn't bring anything tangible to the table
Ni wanaume tu ambao wanaweza kudate na wanawake walio broke hawana kazi wala kipato Ila ni ngumu sana mwanamke kudate na broke man kidume anayejitafuta Ndio maana mwanaume ukijipata lazima uweke standards za maana za mwanamke wa kufanya naye maisha Usikubali kufanya maisha na mwanamke ambaye alikudharau wakati unajitafuta Usikubali kufanya maisha na mwanamke ombaomba na masikini, aina hii ya wanawake ndio ambao huwa wanawadharau wanaume wanaojitafuta Angalia ana mchango gani katika mahusiano yenu kama mchango wake ni uchi tu tena ulio used hit her and run Never date a woman who doesn't bring anything tangible to the table
CHANANJA DYNASTY JF-Expert Member Sep 14, 2024 596 894 Nov 27, 2024 #3 thamani yetu ni ASSETS/MALI tulizo nazo, wakati wao eti wadhani Kei zao ndio kila kitu.