hebu jaribu kuwa wewe ndo mshauri wangu halafu mimi ndo mwenye haya matatizo yako that am in ur shoes nimeleta hii thread natafuta ushauri sasa,wewe ungenishaurije!, hebu tuanze hapo,maana unaweza ukawa na jibu ila usijuwe.Habarini....
Hivi mwanamke anapokutosa kila apatapo kazi na kurudiana na ww kila anapopigwa chini maana yake ni nini?
Kwa ufupi mm nilianza mahusiano ya karibu na dada mmoja tangu tupo chuoni....ingawa mapenzi yalianza kwa magumashi lakini maisha yalienda....yalianza kwa magumashi coz demu huyu alikua ngumu sana kunipa gemu....kwani nakumbuka nilishaenda naye lodge mara kadhaa na kuambulia patupu....
mahusiano ya chuo yaliendelea but niliambulia vichache kama vile kisi na denda.
.Msingi wa tatzo lililofanya niandike uzi huu ni kwamba mara baada ya demu kumaliza chuo alibahatika kupata kazi benki Fulani...hapo ndipo nilipoanza kuyaona rasmi makucha yake kwani mawasiliano yalikufa huku nayaona... Sikupata tena nafasi ya kukisi ata hug kwa kisingizio kwamba mtu yupo busy na kazi....so tukaachana
Nashukuru mungu namm nilipata kazi kwenye kampuni moja na kwa upande Fulani nikanza msaau taratibu..
.
Baada ya kama miez kadhaa mkataba wa kazi wa yule demu ukasitishwa.....
Taratbu msg za GOOD NIGHT na kazi njema zikaanza kujiri kwenye simu yangu....hali hyo iliendelea mpaka nikajikuta nnerudiana naye.....
Mapenzi yakaendeleea kwa muda mfupi mpaka demu alipopata tena kazi kwenye Shirika moja hv....vituko vikaanza tena nakupelekea kuachana naye kwa mara ingine.....na mm mungu si athumani akasaidia nikapata kazi ingine kwenye Shirika Fulani ...sasa hv huyu demu ameanza kunitafuta tena coz kunamatatzo kazini kwani kutokana na mambo ya anko Magufuli kunamambo yanaiendea mrama kampuni yao na kunawasiwasi watapunguza wafanyakazi...
SASA nmekaa nikafikiria inakuaje huyu demu mm nnamfaa vipindi fulani Fulani tu..
.Kwakuwa tatzo lake lipo ndani ya uwezo wangu..Naombeni ushauri nimsaidie au nimwache ili awe na adabu...
asante kwa kunifungua akili....nilishakuwa na mahusiano na wengine but sijui huyu demu anakizizi coz mara napoanza kunitafuta najihisi kwake nakuwa laini kama boflo kwenye chai...by da way nashukuru kwa ushauri wako ntaufanyia kazi...Yani Mwanamke kama huyo mpa wamuombea ushauri kweli wewe Umerogwa, Kiufupi hakufai na wala hakupendi, yani hana mapenzi na wewe hata chembe hata hilo denda hapo awali alikuwa nakula na wewe hiyo basi, kingine ameshakuona wewe ni fala, kiufupi wewe ni buzi lake pindi hali ikiwa mbaya, achana nae kabsaaaa. na wewe kipindi chote upo tu umekaa hutafuti mwenza ndo mana anakuchezea akili.
Toxic mbona toxicity yako ipo juu hvyo...m naomba ushauri wako sasa inakuaje unataka tena nikushauri?hebu jaribu kuwa wewe ndo mshauri wangu halafu mimi ndo mwenye haya matatizo yako that am in ur shoes nimeleta hii thread natafuta ushauri sasa,wewe ungenishaurije!, hebu tuanze hapo,maana unaweza ukawa na jibu ila usijuwe.
Mkuu huu uzi.. hebu fanya kujazia nyama kidogo...inamaana na wewe ulifukuzwa au.Habarini....
Hivi mwanamke anapokutosa kila apatapo kazi na kurudiana na ww kila anapopigwa chini maana yake ni nini?
Kwa ufupi mm nilianza mahusiano ya karibu na dada mmoja tangu tupo chuoni....ingawa mapenzi yalianza kwa magumashi lakini maisha yalienda....yalianza kwa magumashi coz demu huyu alikua ngumu sana kunipa gemu....kwani nakumbuka nilishaenda naye lodge mara kadhaa na kuambulia patupu....
mahusiano ya chuo yaliendelea but niliambulia vichache kama vile kisi na denda.
.Msingi wa tatzo lililofanya niandike uzi huu ni kwamba mara baada ya demu kumaliza chuo alibahatika kupata kazi benki Fulani...hapo ndipo nilipoanza kuyaona rasmi makucha yake kwani mawasiliano yalikufa huku nayaona... Sikupata tena nafasi ya kukisi ata hug kwa kisingizio kwamba mtu yupo busy na kazi....so tukaachana
Nashukuru mungu namm nilipata kazi kwenye kampuni moja na kwa upande Fulani nikanza msaau taratibu..
.
Baada ya kama miez kadhaa mkataba wa kazi wa yule demu ukasitishwa.....
Taratbu msg za GOOD NIGHT na kazi njema zikaanza kujiri kwenye simu yangu....hali hyo iliendelea mpaka nikajikuta nnerudiana naye.....
Mapenzi yakaendeleea kwa muda mfupi mpaka demu alipopata tena kazi kwenye Shirika moja hv....vituko vikaanza tena nakupelekea kuachana naye kwa mara ingine.....na mm mungu si athumani akasaidia nikapata kazi ingine kwenye Shirika Fulani ...sasa hv huyu demu ameanza kunitafuta tena coz kunamatatzo kazini kwani kutokana na mambo ya anko Magufuli kunamambo yanaiendea mrama kampuni yao na kunawasiwasi watapunguza wafanyakazi...
SASA nmekaa nikafikiria inakuaje huyu demu mm nnamfaa vipindi fulani Fulani tu..
.Kwakuwa tatzo lake lipo ndani ya uwezo wangu..Naombeni ushauri nimsaidie au nimwache ili awe na adabu...
Yani Mwanamke kama huyo mpa wamuombea ushauri kweli wewe Umerogwa, Kiufupi hakufai na wala hakupendi, yani hana mapenzi na wewe hata chembe hata hilo denda hapo awali alikuwa nakula na wewe hiyo basi, kingine ameshakuona wewe ni fala, kiufupi wewe ni buzi lake pindi hali ikiwa mbaya, achana nae kabsaaaa. na wewe kipindi chote upo tu umekaa hutafuti mwenza ndo mana anakuchezea akili.
Hahahha mkuu sio kwa ubaya, maana naona jibu la ushauri wangu upo wazi sana,maana jibu lingekuwa huyo demu hakufai,ila nimependa shughulisha akili yako kwa kunishauri ndipo ungepata jibu sahihi sana, hata hivyo kuleta mada jf tayari unajibu sema limbwata mtoto kalikologa haswa, maana its obvious huyo mwanamke hawezi kuwa sahihi kwa maisha yako,hata kama mkifunga ndoa hamfiki mahala popote maana demu tamaa mbeleToxic mbona toxicity yako ipo juu hvyo...m naomba ushauri wako sasa inakuaje unataka tena nikushauri?