MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 12,918
- 28,974
1. Money
2. Inches
Vitu tajwa hapo juu ndo mwanamke anavihitaji. Mwonekano mzuri, u-handsome, kunukia, ucheshi, wema nk ni kama vikorombwezo tu. Ila msingi uko kwenye hayo mambo mawili niliyoyataja.
Ingawa wanawake wako very loyal kwa hisia zao ila hayo mambo mawili (money & inches) kama hayako sawa huwa wanayumba sana. Mwanamke akimpenda mtu yuko tayari kwa lolote ingawa saa nyingine njaa huleta changamoto.
Kijana jikite kwenye vipaumbele viwili vikuu kwenye haya maisha;
1. Tafuta hela kwa bidii zote. Hakikisha unajimudu kiuchumi.
2. Pambana sana uwe sawa kiafya hasa ya uzazi. Hapo kwenye inches sio lazima uwe na maumbile makubwa ila ni lazima uwe sawa sana kwenye lile tendo. Fanya mazoezi na fuata miongozo ya afya hasa inayomhusu mwanaume.