Mwanamke aliyetayari

usungilo

JF-Expert Member
Aug 9, 2012
522
331
Nahitaji mwanamke atakayekuwa tayari kuzaa mtoto/watoto
Nimeoa, akitaka kuwa mke wa pili haina shida. Au anaweza kuamua kuwa free, mtoto nitampa huduma na Upendo wa baba Kama inavyotakiwa.
Huduma na matunzo mama na watoto nitayatoa Kama sehemu ya majukumu ya baba.
Vigezo na mengineyo tutaelewana PM.

Asanteni na karibuni wanawake.
 
Wanachuo mnavurugu humu ndani haki ya nani....!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…