Mwanamke akutwa kwenye paa la jengo la Wizara ya Fedha na Mipango

Chachu Ombara

JF-Expert Member
Dec 11, 2012
6,067
10,936
MWANAMKE AKUTWA KWENYE PAA LA JENGO LA WIZARA YA FEDHA NA MIPANGO JIJINI DAR ES SALAAM LEO.


Mwanamke huyo akizungumza na watu waliokusanyika ikiwa alikuwa hasikiki vizuri maneno aliyokua akiongea kutokana na wananchi waliokusanyika kumuuliza maswali mengi kwa wakati mmoja.

 
Ndio nini, mbona haueleweki? Fafanua taarifa yako tafadhali.
 
Kakutwa anafanya nini?
Maelezo yako mbona hayajitoshelezi?
 
Mmmh..Waliotumbuliwa wameanza visa.Huyo unamwona mwanamke lakini si ajabu ni Men
Tena yawezekana ni kigogo fulani wa juu
 
Hahahaaaaa..... wamuulize alikuwa ameenda kufanya nini pale.
 
Hii inanikumbusha wimbo mmoja wa marehemu mr. ebbo siukumbuki vizuri ila kuna sehemu anasema "ajali ajali"(kwa ile lafudhi yake ya kimaasai)........
 
Mshana jr,njoo utufumbue macho yawezekana mambo ya uloziiii.Tupo chini ya miguu yako utusaidie ni uchawi gani alikuwa anatumia huyu mama wa kununua/kurithi/kuzaliwa nao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…