Mwanamke akikuambia hayuko teyari kuzaa kwa sasa huyo sio wako piga chini haraka anaekupenda atakubebe mimba fasta ili asikupoteze

Loading failed

JF-Expert Member
Sep 14, 2023
2,518
7,327
Ndugu zangu.

Katika kumalizia mwisho wa mwaka wanaume tuzidi kukumbushana kwamba. Siku zote mwanamke anazaa na yule mwanaume anayempenda , ukiona mwanamke uliye nae kwa hiari yake binafsi bila makubaliano anaweka / kutumia vithibiti mimba kwa namna zake na jinsi zake ili tuu asibebe mimba yako, anakataa kukubebea ujauzito akuzalie mtoto kwa kisingizio cha muda bado, au tusubiri tuweke mambo sawa, elewa kwamba hakupendi wewe yupo na wewe kukutumia tuu huku anaangalie yule anaye mpenda yeye amzalie na sio wewe. Na ikitokea mimba yako imeingia ataiharibu makusudi ili tuu asikuzalie mtoto aepuke kifungo cha kuzaa na mwanaume asiye mpenda.

Wanaume tuendelee kua makini sana . Wanawake hawana mambo mengi ya kywaza huko kichwani kimajukumu kuliko sisi wanaume na hawana cha kupoteza kwetu hivyo muda wao mwingi wanawaza na kuutumia jinsi ya kutudhibiti sisi huku wanapanga kwa usashihi mambo ya kutufanyia mazuri au mabaya zaidi kama hakupendi kwa kivuli cha wewe ndiye uliyemtongoza.

Mwakani 2025 wanaume tuende pamoja maana wanawake sahivi wanapewa nguvu kubwa tusipo enda pamoja muda siyo mrefu mfumo wa Mungu wa mwanaume kuwa kichwa utapinduliwa alafu tutaadhibiwa sisi wanaume kwa kuruhusu mfumo jike wa shetani. Hivyo basi ukiona mwanamke wako anagoma katakata kukuzalia au wewe ndiye unambembeleza sana akuzalie kaa na ufahamu wazi kabisa huyo mwanamke siyo wako hakupendi kata minyororo yote ya kumsaidia, kumpa hela, kumuweka moyoni, kama ni ndoa kaivunje mahakamani, kuwa nginja nginja mfano hakuna na usitetereke mfungashe aende zake.

Nb: MWANAMKE ANAYEKUPENDA ATAFANYA JUU CHINI ABEBE MIMBA YAKO TENA HATA WEWE BILA KUJUA ILI ASIKUPOTEZE NA KINYUME CHAKE NI SAWA.
 
Akisema hivyo ndani ya ndoa ndo utakuwa sahihi kuachana naye. Ikiwa nje ya ndoa basi yuko sahihi. Mwanamke kuzaa nje ya ndoa itamfanya awe single mama. Ninawashauri wakatae kuzaa nje ya ndoa.
 
Yani hii jinsia ina mambo ya ajabu sana hivi si ndio ninyi mnaosema mwanamke kumbebea mimba mwanaume siyo guarantee ya kupendwa wala kuolewa na huyo mwanaume, sasa mnataka wawabebee mimba ili iweje ili muwatelekeze na kuwaacha single mothers kisha mje humu mitandaoni na kuanza kutukana single mothers kuwa wanajilengesha wenyewe, unataka mtoto oa ndio uzalishe mnataka kupima upendo wa wanawake kwenu ilihali ninyi wenyewe hamna huo upendo kwao
 
Inategemea Kama huna uwezo wakulea atajizuia kuzaa na wewe hata Kama anakupenda
 
yaani unataka akuzalie umuoe au umuache? mwanamke akishaona haueleweki hakubali kubeba mimba labda atake mwenyewe kubeba risk
 
Kwa dunia ya sasa mwanamke akikuwekea pending yoyote tu iyo ni red flag, possibly amuekuona wewe fala wa kukusubirisha kwanza wakati anaendelea na hekaheka zake uko nje. Atarudi kwako akiwa hana soko tena

Kabla ya kufanya maamuzi ya kuoa akikisha unatest mitambo.Hata kama ukimkuta sio bikira angalao mnato uwepo, malinda yawepo na kizazi kiwe active, vinginevyo unauziwa mbuzi kwenye gunia.

NB: Usimtie mimba kama hauna mpango wa kumuoa
 
TUKO PAMOJA MKUU.
 
Upungufu wa marinda, limekuwa tatizo Sana hebu tilia mkazo apo
 
Una wazimu eeeh

Hujaoa unataka akuzalie ili umfaye single mama shwainiii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…