Loading failed
JF-Expert Member
- Sep 14, 2023
- 2,518
- 7,327
Ndugu zangu.
Katika kumalizia mwisho wa mwaka wanaume tuzidi kukumbushana kwamba. Siku zote mwanamke anazaa na yule mwanaume anayempenda , ukiona mwanamke uliye nae kwa hiari yake binafsi bila makubaliano anaweka / kutumia vithibiti mimba kwa namna zake na jinsi zake ili tuu asibebe mimba yako, anakataa kukubebea ujauzito akuzalie mtoto kwa kisingizio cha muda bado, au tusubiri tuweke mambo sawa, elewa kwamba hakupendi wewe yupo na wewe kukutumia tuu huku anaangalie yule anaye mpenda yeye amzalie na sio wewe. Na ikitokea mimba yako imeingia ataiharibu makusudi ili tuu asikuzalie mtoto aepuke kifungo cha kuzaa na mwanaume asiye mpenda.
Wanaume tuendelee kua makini sana . Wanawake hawana mambo mengi ya kywaza huko kichwani kimajukumu kuliko sisi wanaume na hawana cha kupoteza kwetu hivyo muda wao mwingi wanawaza na kuutumia jinsi ya kutudhibiti sisi huku wanapanga kwa usashihi mambo ya kutufanyia mazuri au mabaya zaidi kama hakupendi kwa kivuli cha wewe ndiye uliyemtongoza.
Mwakani 2025 wanaume tuende pamoja maana wanawake sahivi wanapewa nguvu kubwa tusipo enda pamoja muda siyo mrefu mfumo wa Mungu wa mwanaume kuwa kichwa utapinduliwa alafu tutaadhibiwa sisi wanaume kwa kuruhusu mfumo jike wa shetani. Hivyo basi ukiona mwanamke wako anagoma katakata kukuzalia au wewe ndiye unambembeleza sana akuzalie kaa na ufahamu wazi kabisa huyo mwanamke siyo wako hakupendi kata minyororo yote ya kumsaidia, kumpa hela, kumuweka moyoni, kama ni ndoa kaivunje mahakamani, kuwa nginja nginja mfano hakuna na usitetereke mfungashe aende zake.
Nb: MWANAMKE ANAYEKUPENDA ATAFANYA JUU CHINI ABEBE MIMBA YAKO TENA HATA WEWE BILA KUJUA ILI ASIKUPOTEZE NA KINYUME CHAKE NI SAWA.