Mwanamke akibaka apewe adhabu gani ?

zipumbovu

Member
Nov 27, 2023
20
323
Habari wakuu, Leo nimetembea tembea mtandaoni nimekutana na hoja za baadhi ya Wabunge wakitaka ipitishwe sheria ya mwanaume aliye baka adhabu yake iwe kuhasiwa, yaani korodani zitolewe nje na asiweze tena kuitumia dushe yake kwenye matumizi ya kuzagamua.

Binafsi naona imekaa sawa ila ni lazima Tanzania iwe makini kwenye hizi kesi, kwasababu 70% ni kesi za kubambikiwa yaani hazina ukweli wowote, tumeshuhudia wanawake wengi wakiwabambika kesi za namna hiyo waume zao baada tu ya kuchana "utaskia amembaka mtoto wake wa kumzaa, kumbe ni wivu tuu wa mwanamke"

Hiyo sio ya maana sana, hoja ni kwamba kama mwanaume atahasiwa baada ya kupatikana na hatia ya kubaka, JE mwanamke atafanywa nini kama atapatikana na hatia ya kubaka ?

NI LAZIMA TUISHI KWENYE HAKI SAWA 50 / 50
 
Mwanamke habaki wewe. Sema mwanamke anamshawishi mwanaume asiyetaka kufanya mapenzi hadi akubali kufanya mapenzi ndio maana mnasimamisha mnara na mnamwaga wazungu.
 
Back
Top Bottom