Mwanamke ajifungua mapacha watatu mkoani Mwanza

Hayo maajabu wakat mimi wife alijifungua sita na sikuona maajabu.ila nilimshukuru MUNGU kwakuwa yeye alitenda maajabu wife kujifungua salaama.
 
Sio maajabu sana, mbona huwa wapo tu! hata jirani yangu yupo anaitwa mama watatu na watoto wenyewe wako form three mwaka huu. Hakuna cha ajabu hapo
 
Warumi kuwa na adabu kidogo Mkuu sio kila mtu ni rika lako. Kwani amekosea nini kuleta habari au kuna lingine? Ipatie JF heshima sio kashfa za kiwango hiki. Habari za Mange nenda Insta
 
Warumi kuwa na adabu kidogo Mkuu sio kila mtu ni rika lako. Kwani amekosea nini kuleta habari au kuna lingine? Ipatie JF heshima sio kashfa za kiwango hiki. Habari za Mange nenda Insta
Samahani, but huwa natania tu, usinichukulie serious, pole sana wangu na samahani kama nimekukwaza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…