mwakani naolewa
Senior Member
- Jul 25, 2024
- 148
- 425
Mwanafunzi wa chuo kikuu cha Dar es salaam kutoka shule ya uchumi jina lake ni Jimmy Mathias Bughado mkazi wa Tabora, ametoweka katika mazingira ya kutatanisha hajulikani alipo toka siku ya Alhamisi wiki iliyopita mpaka leo.
Alitoka mida ya jioni na kuaga kwamba anakwenda matembezi, hakurudi tena na hajulikani alipo.
Inasemekana katekwa na watu wasio julikana kwa atakayemuona atoe taarifa kituo chochote cha polisi au apige simu namba 0752746751