Mkuu kuhusu The mwalimu Nyerere Memorial Academy unaruhusiwa kujiunga Na chuo hicho hata kama ukitokea Bara.MNMA Zanzibar ni tawi la MNMA kigamboni.Habari za muda huu wadau,
Naomba kufahamishwa kama kuna uwezekano wa mwanafunzi aliyesoma shule za Tanzania bara kwenda kujiunga na vyuo vya Zanzibar kama vile KARUME TECHNICAL COLLEGE,ZANZIBAR UNIVERSITY au THE MWALIMU NYERERE MEMORIAL ACADEMY kwenye kada mbalimbali za kielimu mfano Engineering,Nursing au Ualimu.
Je,kuna masharti yoyote?
Si kweli kiarabu Ni moja ya masomo Tu na mengine yanasomeshwa kama kawaida..mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni kwa hili si kweliPole, huko kama ulikuwa darasa la pili bara ukifika huko omba uingie darasa la tano. Kule wanasoma lugha ya Kiarabu tu ili wakaishi Oman na Saudi Arabia. Mnyonge mnyongeni ila ndo ukweli huo
Maisha ya pale ni magumu kama wewe ni non muslim, Kwenye curriculum yao Religion ipo na sio optionalUna maana elimu waitoayo ni mdebwedo?
Sawa tuko tofautiKwangu hilo ni faraja kuona wanasisitiza kuabudu!
Yah inaruhusiwa na wala hakuna masharti yoyote, katiba ya jamhuri ya muungano wa Tanzania inakifungu ambacho kinaonesha masuala ya elimu ni masuala ya kimuungano so tunashare Kwenye masuala ya elimuHabari za muda huu wadau,
Naomba kufahamishwa kama kuna uwezekano wa mwanafunzi aliyesoma shule za Tanzania bara kwenda kujiunga na vyuo vya Zanzibar kama vile KARUME TECHNICAL COLLEGE,ZANZIBAR UNIVERSITY au THE MWALIMU NYERERE MEMORIAL ACADEMY kwenye kada mbalimbali za kielimu mfano Engineering,Nursing au Ualimu.
Je,kuna masharti yoyote?
Shukrani kwa taarifa!Yah inaruhusiwa na wala hakuna masharti yoyote, katiba ya jamhuri ya muungano wa Tanzania inakifungu ambacho kinaonesha masuala ya elimu ni masuala ya kimuungano so tunashare Kwenye masuala ya elimu
Kama uankatiba soma first schedule utaona hiyo kitu