TANZIA Mwanachana wa Black Panther Dr. Ikaweba Bunting Afariki dunia

Huihui2

JF-Expert Member
Jan 5, 2012
6,712
10,907
Anaanfika Prof M. Martin Mhando

Profesa Ikaweba Bunting ni mtu wa kukumbukwa kweli.

Bunting.jpg

1. Kama mtengeneza filamu alikuwa katika crew iliyotengeneza filamu ya kwanza kubwa Tanzania, Fimbo ya Mnyonge (1972)

2. Alikuwa Soundman

3. Alikuwa Mmarekani Mweusi wa kwanza kufanya kazi katika studio kubwa za filamu kama mtaalamu wa filamu huko Marekani.

4. Miaka ya 70 wakati wa vuguvugu la kujikomboa kwa Wamarekani wenye asili ya Afrika wakiwemo The Black Panther Party aliikimbia Marekani akamua kuja Tanzania. Nyerere alifungua milango kwa Black Panthers kurudi nyumbani na ndipo watu wenye msimamo wa Uafrika (Panafricanists) walipokuja kujenga Afrika mpya.

5. Aliishi Arusha kama Mtanzania yeyote yule.

6. Miaka ya 80 alimwoa binti ya Mwalimu na kuwa karibu sana na Mwalimu kabla hajang'atuka.

6. Alikuwa mwandishi wa habari wa mwisho kumfanyia Mwalimu mahojiano kabla Mwalimu hajafariki.

7. Baadaye alijiendeleza na kusoma hadi akapata Ph.D katika taaluma ya habari.

8. Alifanya kazi na Taasisi ya Mfuko wa Mwalimu Nyerere kwa muda mrefu hadi umauti unamkuta.

9. Mwaka 2012 alikubali ombi la kuiongoza ZIFF na kufanya hivyo kwa mwaka mmoja. Alijiuzulu baada ya mwaka huo.

10. Amefariki kwa ugonjwa wa saratani.

Bado tuna mengi ya kumzungumzia Mwana wa Afrika Ikaweba Bunting.

Ataishi milele katika mioyo ya wapenda haki na Wana wa Afrika.

Astarehe kwa amani.
 
Anaanfika Prof M. Martin Mhando

Profesa Ikaweba Bunting ni mtu wa kukumbukwa kweli.
1.Kama mtengeneza filamu alikuwa katika crew iliyotengeneza filamu ya kwanza kubwa Tanzania, Fimbo ya Mnyonge (1972)
2.Alikuwa Soundman
3.Alikuwa Mmarekani Mweusi wa kwanza kufanya kazi katika studio kubwa za filamu kama mtaalamu wa filamu huko Marekani.
4.Miaka ya 70 wakati wa vuguvugu la kujikomboa kwa Wamarekani wenye asili ya Afrika wakiwemo The Black Panther Party aliikimbia Marekani akamua kuja Tanzania. Nyerere alifungua milango kwa Black Panthers kurudi nyumbani na ndipo watu wenye msimamo wa Uafrika (Panafricanists) walipokuja kujenga Afrika mpya.
5.Aliishi Arusha kama Mtanzania yeyote yule.
6.Miaka ya 80 alimwoa binti ya Mwalimu na kuwa karibu sana na Mwalimu kabla hajang'atuka.
6.Alikuwa mwandishi wa habari wa mwisho kumfanyia Mwalimu mahojiano kabla Mwalimu hajafariki.
7.Baadaye alijiendeleza na kusoma hadi akapata Ph.D katika taaluma ya habari.
8.Alifanya kazi na Taasisi ya Mfuko wa Mwalimu Nyerere kwa muda mrefu hadi umauti unamkuta.
9.Mwaka 2012 alikubali ombi la kuiongoza ZIFF na kufanya hivyo kwa mwaka mmoja. Alijiuzulu baada ya mwaka huo.
10.Amefariki kwa ugonjwa wa saratani.
Bado tuna mengi ya kumzungumzia Mwana wa Afrika Ikaweba Bunting.
Ataishi milele katika mioyo ya wapenda haki na Wana wa Afrika.
Astarehe kwa amani.
Picha please
 
Anaanfika Prof M. Martin Mhando

Profesa Ikaweba Bunting ni mtu wa kukumbukwa kweli.

1. Kama mtengeneza filamu alikuwa katika crew iliyotengeneza filamu ya kwanza kubwa Tanzania, Fimbo ya Mnyonge (1972)

2. Alikuwa Soundman

3. Alikuwa Mmarekani Mweusi wa kwanza kufanya kazi katika studio kubwa za filamu kama mtaalamu wa filamu huko Marekani.

4. Miaka ya 70 wakati wa vuguvugu la kujikomboa kwa Wamarekani wenye asili ya Afrika wakiwemo The Black Panther Party aliikimbia Marekani akamua kuja Tanzania. Nyerere alifungua milango kwa Black Panthers kurudi nyumbani na ndipo watu wenye msimamo wa Uafrika (Panafricanists) walipokuja kujenga Afrika mpya.

5. Aliishi Arusha kama Mtanzania yeyote yule.

6. Miaka ya 80 alimwoa binti ya Mwalimu na kuwa karibu sana na Mwalimu kabla hajang'atuka.

6. Alikuwa mwandishi wa habari wa mwisho kumfanyia Mwalimu mahojiano kabla Mwalimu hajafariki.

7. Baadaye alijiendeleza na kusoma hadi akapata Ph.D katika taaluma ya habari.

8. Alifanya kazi na Taasisi ya Mfuko wa Mwalimu Nyerere kwa muda mrefu hadi umauti unamkuta.

9. Mwaka 2012 alikubali ombi la kuiongoza ZIFF na kufanya hivyo kwa mwaka mmoja. Alijiuzulu baada ya mwaka huo.

10. Amefariki kwa ugonjwa wa saratani.

Bado tuna mengi ya kumzungumzia Mwana wa Afrika Ikaweba Bunting.

Ataishi milele katika mioyo ya wapenda haki na Wana wa Afrika.

Astarehe kwa amani.
Buriani mkwe wa nyerere
 
Back
Top Bottom