Mhaya
JF-Expert Member
- Aug 20, 2023
- 1,881
- 5,667
Mwana yupo jela kwa Kesi ya unga, yule slay qeen karudi tena kwenye game la kukaa uchi Insta... she belongs to the streets.
Mwanzo aliolewa akapotea mtandaoni na akabadili na Dini mixture kuvaa ushungi, ila sasa hivi amerudi na mapigo ya zamani mixture kukaa uchi, picha location kali... kiufupi ni kama karudi sokoni wavuvi watupe ndoano au nyavu....
GUESS WHO?