SAGAI GALGANO JF-Expert Member Nov 13, 2009 46,303 66,495 May 5, 2016 #3 Amavubi said: View attachment 344723 Click to expand... Kajisumbua tu kuweka net, akiachia kitu hapo kuna mdudu atakaribia hapo.
Amavubi said: View attachment 344723 Click to expand... Kajisumbua tu kuweka net, akiachia kitu hapo kuna mdudu atakaribia hapo.
Amavubi JF-Expert Member Dec 9, 2010 30,156 13,251 May 5, 2016 Thread starter #4 DOUGLAS SALLU said: Kajisumbua tu kuweka net, akiachia kitu hapo kuna mdudu atakaribia hapo. Click to expand... inabidi apate saizi toka KIWANDANI
DOUGLAS SALLU said: Kajisumbua tu kuweka net, akiachia kitu hapo kuna mdudu atakaribia hapo. Click to expand... inabidi apate saizi toka KIWANDANI
jogi JF-Expert Member Sep 25, 2010 25,556 25,334 May 5, 2016 #5 Ni kama anasubiri daktari vile!!!! Au sioni vizuri
Amavubi JF-Expert Member Dec 9, 2010 30,156 13,251 May 5, 2016 Thread starter #7 Kingsharon92 said: Mbona kama inaumwa vile? Click to expand... shibe ni sawa na kuumwa wakati mwingine hasa UKIVIMBIWA
Kingsharon92 said: Mbona kama inaumwa vile? Click to expand... shibe ni sawa na kuumwa wakati mwingine hasa UKIVIMBIWA
Amavubi JF-Expert Member Dec 9, 2010 30,156 13,251 May 5, 2016 Thread starter #8 jogi said: Ni kama anasubiri daktari vile!!!! Au sioni vizuri Click to expand... LABDA WA KUMKAMUA
Amavubi JF-Expert Member Dec 9, 2010 30,156 13,251 May 5, 2016 Thread starter #9 swissme said: View attachment 345012 ndugu zake hao. swissme Click to expand... na kweli aisee
GIUSEPPE JF-Expert Member Dec 31, 2011 5,239 6,223 May 5, 2016 #10 swissme said: View attachment 345012 ndugu zake hao. swissme Click to expand... Yule ndugu yangu wa mashati (Rombo) akifika hapo anatimuliwa, watadai yeye ni chembambaa wakati huku kwetu mpaka jina kajibadili kuwa LeMu.
swissme said: View attachment 345012 ndugu zake hao. swissme Click to expand... Yule ndugu yangu wa mashati (Rombo) akifika hapo anatimuliwa, watadai yeye ni chembambaa wakati huku kwetu mpaka jina kajibadili kuwa LeMu.
Humble African JF-Expert Member Jul 28, 2013 4,779 14,382 May 5, 2016 #11 Atakuwa mpishi wa jeshi huyu bila shaka!! Tumbo ka mfuko wa.........malizia.
Totos Boss JF-Expert Member Dec 30, 2012 5,456 1,565 May 5, 2016 #12 swissme said: View attachment 345012 ndugu zake hao. swissme Click to expand... Dah ndugu au kaak zake?
swissme said: View attachment 345012 ndugu zake hao. swissme Click to expand... Dah ndugu au kaak zake?
SupuyaPweza JF-Expert Member Oct 22, 2014 914 471 May 6, 2016 #13 huyo alielala, yuko leba anasubiria?
SAGAI GALGANO JF-Expert Member Nov 13, 2009 46,303 66,495 May 6, 2016 #14 SupuyaPweza said: huyo alielala, yuko leba anasubiria? Click to expand... Ku-push