Mdomo umemeza tofali.[/QUOTE
Wasemaje mkuu
Hapana mkuu sio swala la domo zegeMkuu....
Hili ni zege kabisa....
nisi wachoshe wana jf.Kichwa cha habari cha husika. Kiukweli leo nimepanda hari moja na mwana jf mzuri sanaa tulikaa wote siti ya nyumba kwa kuwa alikuwa busy sana na chati nilimsalaimu tu.
Natamani aione thread hii ani inbobo napenda awe rafiki yangu wa kuchati pia.
Yaani nimejiuliza huyu ni kessie,Joanah, Valentina, Lara1 .....!!!
Mara uonapo thread hii tafadhari ni inbobo tulipanda wote gari ielekeayo makumbusho kutoka buguruni.siti ya nyuma kabisa
haUlishindwa kutumia fursa mkuu. Au we ni jasiri ya nyuma ya keyboard tu
mimi ni kuungwana siwezi mpiga picha mtu kama unavyofikiriTuwekee picha basi kama mtongozo umekushinda.
Mkuu
mimi ni kuungwana siwezi mpiga picha mtu kama unavyofikiri
Hahahaha , Mkuu ujasiri wa kutoa mapeme sina hahaha bora tu niwe dume suruali huhuhu. Mkuu unaweza kuchambwa huhuhu maana hf yenyewe kujua kuwa ni mjumbe ilikuwa kwa bahati mbyaya tu yena kwa kuwa jicho halina paziaMkuu huyo binti hawezi akakuinbobo hata kidogo, trust me.
Ungekua smart ungemuongelesha japo kidogo, mfn ungemwambia - Dada hebu nipe updates ya uzi unaotrend JF, maana shughuli zimenibana hata siingii JF siku hizi. Baada ya hapo story zingechanganya. Ungemlipia nauli nk nk.
Baada ya kufanya hivyo ndio ungekuja na huu uzi, kama ni urafiki tu wa kuchat lazima angekufata kwa inbobo. Lkn kwa udomo zege wako, huyo bidada keshakuona dume kaptura.
HahahaHuwa natamani sana chance kama hizo, hii forum imenifanya nione watu wote humu ni ndugu zangu so kwa upande wangu, ningefunguka mapema sanaaa..tena bila woga angenielewa tu hah hah
ui kupiga picha mtu bila ridhaa yake ni kosa kwa mujibu wa sheria?Kupiga picha si kukiuka uungwana wako.
limu vizuri tu soma uzi wangu hapo kjuuHata salamu imekushinda
Wanaitwa madomo tenga.Mkuu....
Hili ni zege kabisa....