Mwana JamiiForums anayehoji kwanini Rais wa Tanzania akiwa ni Mkristo lazima awe ni Mkatoliki anatuaibisha 'Lake Zone Geniuses' wote

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
59,948
119,227
Hili linajulikana tokea nchi hii inapata Uhuru na lipo katika Makubaliano ya Siri yenye Kiapo Kikali tena chenye Laana Kubwa kama likikiukwa / kikikiukwa ( ukibisha hili Huna Akili )

Inasikitisha sana na GENTAMYCINE nimesikitika kumuona Mtu ambaye amezaliwa katika Familia ya Mfumo ( System ) na kwa Uelewa na Elimu yake isiyo na Shaka hili analijua halafu kwa Unafiki wake ambao ndiyo Umemgharimu hadi sasa anarandaranda tu huku na kule kama Paka Shume wa Baa ya Yamungu Mengi Ilala Shariff Shamba anakuja Kudanganya Watu hapa JamiiForums ili tu Marafiki zake Wakubwa Wawili Wawania Urais 2030 ambao ni Walutheri na Mmoja anatokea Anglican wapete na Wakishinda basi awe na uhakika wa Uteuzi na Msoto ( Waya ) wa Maisha anaoupitia kwa sasa ( ambao hata Mimi GENTAMYCINE ) naupitia upate Unafuu.

Haya GENTAMYCINE naliweka hili sawa hata kama litawauma kwamba kama Wewe Mroho ( Mtaka ) Urais wa Tanzania na unajijua ni Mkristo kama GENTAMYCINE ukijijua kuwa hutokei Dhehebu langu Tukuka, lenye Nguvu na Ushawishi Kihistoria Ulimwenguni la Katoliki acha na sahau kabisa kuja kuwa Rais wa Tanzania

Vyeo vya Walutheri, Waanglikana, Waprotestanti na Walokole ( TAG ) katika Utawala wa Tanzania vinaanzia katika Nafasi za Mawaziri Wakuu na nyinginezo na kwa Taarifa yenu hata huko Sekta Nyeti ( za Ulinzi na Usalama ) nikimaanisha TISS na TPDF Kipaumbele cha Ukatoliki huzingatiwa japo kuna nyakati hukosewa kidogo, ila Ukatoliki ni Kwanza Tanzania utake usitake period.

Haya wale Matomaso na msiopenda Uwasilishaji wa GENTAMYCINE karibuni katika Kunishambulia na hata Kunitolea yale Maneno yenu, ila najua hii Sindano itawaingia na imewaingia hivyo itawatibu na hamjachelewa Kubadilika.

Waislamu kaeni mbali na hii Vita Ok?
 
Naunga mkono hoja
 
Kwa sisi wenye akili tunalijua kwamba jesuits wa kikatoliki walishunda bid ya kusimamia Transition ya Tanganyika wakuchuana vikali na fabian societies ya Anglican na CIA ya marekani ndipo jesuits wakaibuka kidedea wakiwa na kijana wao shupavu Burito kambarage nyerere aliebatizwa na kuitwa julius hapo Tabora!!!

TANZANIA ni matokeo ya ujasusi wa kikatoliki na hilo linaeleweka!!

Lakini hapo MBELENI zipo dalili za mgogoro unaoweza kuibua asie tarajiwa kama wavaa kanzu wakitibua KWA kusema ni sisi na wakatoliki wakasema ni wao ndipo msemo wa tukose wote unaweza tumika!!

Ni KAZI ya idara ku handle VIZURI mambo haya!

Mungu ibariki Tanzania nchi yetu tuipendayo sana!!
 
Hawa ni wagalatia
 
Hili linajulikana tokea nchi hii inapata Uhuru na lipo katika Makubaliano ya Siri yenye Kiapo Kikali tena chenye Laana Kubwa kama likikiukwa / kikikiukwa ( ukibisha hili Huna Akili )

Inasikitisha sana na GENTAMYCINE nimesikitika kumuona Mtu ambaye amezaliwa katika Familia ya Mfumo ( System ) na kwa Uelewa na Elimu yake isiyo na Shaka hili analijua halafu kwa Unafiki wake ambao ndiyo Umemgharimu hadi sasa anarandaranda tu huku na kule kama Paka Shume wa Baa ya Yamungu Mengi Ilala Shariff Shamba anakuja Kudanganya Watu hapa JamiiForums ili tu Marafiki zake Wakubwa Wawili Wawania Urais 2030 ambao ni Walutheri na Mmoja anatokea Anglican wapete na Wakishinda basi awe na uhakika wa Uteuzi na Msoto ( Waya ) wa Maisha anaoupitia kwa sasa ( ambao hata Mimi GENTAMYCINE ) naupitia upate Unafuu.

Haya GENTAMYCINE naliweka hili sawa hata kama litawauma kwamba kama Wewe Mroho ( Mtaka ) Urais wa Tanzania na unajijua ni Mkristo kama GENTAMYCINE ukijijua kuwa hutokei Dhehebu langu Tukuka, lenye Nguvu na Ushawishi Kihistoria Ulimwenguni la Katoliki acha na sahau kabisa kuja kuwa Rais wa Tanzania

Vyeo vya Walutheri, Waanglikana, Waprotestanti na Walokole ( TAG ) katika Utawala wa Tanzania vinaanzia katika Nafasi za Mawaziri Wakuu na nyinginezo na kwa Taarifa yenu hata huko Sekta Nyeti ( za Ulinzi na Usalama ) nikimaanisha TISS na TPDF Kipaumbele cha Ukatoliki huzingatiwa japo kuna nyakati hukosewa kidogo, ila Ukatoliki ni Kwanza Tanzania utake usitake period.

Haya wale Matomaso na msiopenda Uwasilishaji wa GENTAMYCINE karibuni katika Kunishambulia na hata Kunitolea yale Maneno yenu, ila najua hii Sindano itawaingia na imewaingia hivyo itawatibu na hamjachelewa Kubadilika.

Waislamu kaeni mbali na hii Vita Ok?
Nimesoma na kuunga dots zote kwenye hii passage yako. Nimegundua Tanzania tuna Iron Dome kwenye kile kikombe pale juu.

Tuendelee kuchapa kazi, wajukuu zetu watakuja kubadili mtazamo endapo tutapunguza kulaumu laumu na kuwekeza kwenye elimu yenye tija
 
Hili linajulikana tokea nchi hii inapata Uhuru na lipo katika Makubaliano ya Siri yenye Kiapo Kikali tena chenye Laana Kubwa kama likikiukwa / kikikiukwa ( ukibisha hili Huna Akili )

Inasikitisha sana na GENTAMYCINE nimesikitika kumuona Mtu ambaye amezaliwa katika Familia ya Mfumo ( System ) na kwa Uelewa na Elimu yake isiyo na Shaka hili analijua halafu kwa Unafiki wake ambao ndiyo Umemgharimu hadi sasa anarandaranda tu huku na kule kama Paka Shume wa Baa ya Yamungu Mengi Ilala Shariff Shamba anakuja Kudanganya Watu hapa JamiiForums ili tu Marafiki zake Wakubwa Wawili Wawania Urais 2030 ambao ni Walutheri na Mmoja anatokea Anglican wapete na Wakishinda basi awe na uhakika wa Uteuzi na Msoto ( Waya ) wa Maisha anaoupitia kwa sasa ( ambao hata Mimi GENTAMYCINE ) naupitia upate Unafuu.

Haya GENTAMYCINE naliweka hili sawa hata kama litawauma kwamba kama Wewe Mroho ( Mtaka ) Urais wa Tanzania na unajijua ni Mkristo kama GENTAMYCINE ukijijua kuwa hutokei Dhehebu langu Tukuka, lenye Nguvu na Ushawishi Kihistoria Ulimwenguni la Katoliki acha na sahau kabisa kuja kuwa Rais wa Tanzania

Vyeo vya Walutheri, Waanglikana, Waprotestanti na Walokole ( TAG ) katika Utawala wa Tanzania vinaanzia katika Nafasi za Mawaziri Wakuu na nyinginezo na kwa Taarifa yenu hata huko Sekta Nyeti ( za Ulinzi na Usalama ) nikimaanisha TISS na TPDF Kipaumbele cha Ukatoliki huzingatiwa japo kuna nyakati hukosewa kidogo, ila Ukatoliki ni Kwanza Tanzania utake usitake period.

Haya wale Matomaso na msiopenda Uwasilishaji wa GENTAMYCINE karibuni katika Kunishambulia na hata Kunitolea yale Maneno yenu, ila najua hii Sindano itawaingia na imewaingia hivyo itawatibu na hamjachelewa Kubadilika.

Waislamu kaeni mbali na hii Vita Ok?
laan kubwa ya wap acha siasa zako iyo n kwasababu waislamu na wakatoliki wote ni wakatoliki yaani roma ilijitungia koran ikaanza wafundisha waarabu islamic is catholik B
 
na muislam lazma awe shia,sunni hatakiwi hata kidogo
 
Nimetani nigonge dislike ila nikaona profile lako zito
 
Back
Top Bottom