Mwana FA: Sina mpango wa kufanya kazi tena na Lady Jay Dee

brave one

JF-Expert Member
Feb 5, 2013
4,879
7,386
Rapa mwana fa anaefanya vizuri na wimbo wake wa "Duke Suruali " amefunguka na kuweka wazi hana tena mpango wa kufanya kazi na msanii lady jaydee.
Mwana FA alisema hayo kupitia kipindi cha planet bongo kunachorushwa na east Africa radio " kwasasa sina mpango tena kufanya Kazi na lady jay dee na hili swali sijui kwanini linajirudia Mara kwa mara na wasanii wengine na sina tatizo nao
 
MwanaFA yupo sahihi,huwezi kufanyakazi na aliyekudhalilisha kwani hujui anafikiria nini tena kichwani kwake
 
Mnh haya bwana watajua wenyewe, ila sisi tunataka muziki
 
Nilidhani jamaa kupita shule kumemsaidia, kumbe sivyo. Pengine Jaydee alisema vitu vilivyomuumiza sana kiasi anashindwa kuzuia hisia zake kwenye mitego kama aliyoingizwa hapo.
 
Nilidhani jamaa kupita shule kumemsaidia, kumbe sivyo. Pengine Jaydee alisema vitu vilivyomuumiza sana kiasi anashindwa kuzuia hisia zake kwenye mitego kama aliyoingizwa hapo.
Kwani kuna ulazima wa kufanya tens Kazi pamoja?
Sijaona alipokosea means fa watu mnamshambulia
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…