Suley2019
JF-Expert Member
- Oct 7, 2019
- 2,170
- 5,527
Anaongeza kuwa, hata mtu atakayefukuzwa katika kanisa lake la Rise and Shine hawezi kusema mazuri kuhusu kanisa lake baada ya kufukuzwa.
Aidha, Mwamposa anahoji kwanini shutuma dhidi ya TB Joshua zimeibuka baada ya kifo chake?
Pia soma:
- Mwamposa ni kopi halisi ya mwendazake TB Joshua
- Uchunguzi: TB Joshua aliwanyanyasa na kuwabaka wafuasi wake