Mganguzi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2022
- 1,584
- 3,703
Bingwa yeyote humtazama adui na kumdhoofisha nguvu zake! Miaka yote ambayo ccm ilikung'utwa sana majimboni zilitumika mbinu za kijasusi kuwafarakanisha 'na kuwatafuta wale ambao ni turufu yao kubwa waje upande wa pili ili kuwapandisha presha na kunogesha mpambano ,hapa haihitajiki Tena cv ya mtu ama utakatifu wa mtu ! Kinachoangaliwa hapa ni nguvu ya mtu ,bingwa wa siasa hizi ndugu freeman mbowe alikuwa na maarifa sana inapokaribia uchaguzi mkuu alikuwa anatafuta namna ya kuwashake ccm na kuwagawanya ili kuleta balance huko majimboni !2015 bila kuangalia utakatifu wa mtu alimtumia bishop Josephat gwajima kumpata Edward lowassa ,kingunge ,mzee sumaye ,na kundi kubwa likaondoka kumfuata !alishinda urais hakutangzwa lakini wabunge zaidi ya mia waliingia bungeni ,kilikuwa ni kimbunga kikubwa! Mwambieni lissu uchaguzi ni mbinu chadema ya sasa inamgawanyiko mkubwa mchukueni hata Josephat gwajima hata kama hatashinda urais lakini ananguvu na mtandao wake ni mkubwa sana na sasa iundwe kamati ya roho mbaya ianze kuwavuruga ccm kivyovyote waanze kufarakana ! Kwa mwendo huu wa kutukana tukana tu majukwaani hamtaambulia Jimbo hata Moja