Mkuu nakushauri uzunguke shule nyingi sana za private mikoani humo zina hitaji waalim. Mwalimu wa physics wewe una soko sana bado, take time zungukia shule mbali naamini huwezi kosa nafasi.
Tusidanganyane, na kupotezeana muda Mkuu Siku hizi hamna cha ajira Hata hizo private ndio asikuambie mtu walimu wamejaa, shule nyingi zenye uhitaji ni government Ila ndio hivo Mkuu wa kaya kabana