Shule ya sekondari Inspire (Inspire Sec. Schol talent academy) iliyopo Kibaha, inamtafuta mwalimu wa muziki na/au uigizaji kufanya kazi shuleni kwao. Shule ipo karibu na Kwa Matias na hivyo mwalimu aliye maeneo ya kibaha itamfaa zaidi.
Piga simu 0786227862 au 0755 872 551 au andika barua pepe kwenye anwani hizi:
resbijura@yahoo.com/respiciusbijura@gmail.com, kuomba kazi hii. Mwalimu wa shule jirani anaweza kupewa nafasi ya kufundisha kwa muda tutakaokubaliana.