Je unaishi maeneo ya Kibaha Kwa Matias? Unaweza kufundisha masomo ya Commerce na Book keeping? Kama jibu ni ndiyo na unapenda kufanya kazi part time, tuandikie na kututumia cv yako na barua ya maombi kwenye email hizi: resbijura@yahoo.com au bijuraa@gmail.com. Mwisho kupokea maombi ni tarehe 30 Dec 2017. Karibuni.