Mwalimu wa Biology and Agricultural Science

yello masai

JF-Expert Member
Jan 8, 2016
3,647
3,686
Mimi ni mwalimu wa masomo ya Biology na Agricultural Science.

Jinsia yangu ni F.

Nina Bachelor of Science with Education in Agricultural Science and Biology kutoa Sokoine University of Agriculture (SUA).

Nina uzoefu wa kufundisha masomo tajwa hapo juu japokuwa nina uwezo wa kufundisha Chemistry pia.

Nipo hapa kuomba nafasi ya kufundisha katika ngazi yoyote na shule yoyote.

Kama unaweza kunishika mkono nisaidie nitashukuru sana.

Ukicoment hapa nitakufata inbox.
 
Back
Top Bottom