Mwalimu Nyerere: Serekali ya mseto zanzibar inahitajika haraka sana

lendila

JF-Expert Member
Sep 26, 2012
5,806
4,370
Mwalimu nyerere serekali ya mseto zanzibar inahitajika haraka sana,ukiangalia matokeo ya cuf na ccm yanakaribiana sana,kwa hiyo ni lazima pawepo na jitihada za kuwaleta hawa watu pamoja,hiyo ndio ilikuwa busara ya mwalimu nyerere baada ya uchaguzi mwaka 1995
 
Huyu mzeee alikuwa km mpiga ramli vile, Kila alichokinena kinatimia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…