kichwabox Senior Member Feb 14, 2016 152 40 Apr 20, 2016 #1 Nafasi zilizotangazwa na mwalimu commercial bank zilikuwa kiini macho? maana mpaka sasa kimya hakuna jipya!
Nafasi zilizotangazwa na mwalimu commercial bank zilikuwa kiini macho? maana mpaka sasa kimya hakuna jipya!
KIFALU Member Mar 13, 2014 99 15 Apr 20, 2016 #2 kichwabox said: nafasi zilizotzngazwa na mwalimu zilikuwa kiini macho maana mpaka sasa kimya hakuna jipya Click to expand... Week hii tutaanza kuwaita bado tunashortlist mko wengi sana!
kichwabox said: nafasi zilizotzngazwa na mwalimu zilikuwa kiini macho maana mpaka sasa kimya hakuna jipya Click to expand... Week hii tutaanza kuwaita bado tunashortlist mko wengi sana!
Mr.Junior JF-Expert Member Sep 8, 2013 12,448 11,022 Apr 20, 2016 #4 kichwabox said: Nafasi zilizotangazwa na mwalimu commercial bank zilikuwa kiini macho? maana mpaka sasa kimya hakuna jipya! Click to expand... Walisema only shortlisted candidates will be contacted.
kichwabox said: Nafasi zilizotangazwa na mwalimu commercial bank zilikuwa kiini macho? maana mpaka sasa kimya hakuna jipya! Click to expand... Walisema only shortlisted candidates will be contacted.
M Mtanzanyika JF-Expert Member Feb 12, 2015 368 425 Apr 20, 2016 #5 Rickboy said: FNB, Diamond Trust Bank, ‘Canara’,I &M wote hawa nawasubiria sijakata tamaa. Click to expand... FNB zilikuwa uzushi, Diamond Trust wameshaita, I & M wameshaita.! Canara endelea kusubiri bado hawajaita wanakamilisha registration kwanza za bank.
Rickboy said: FNB, Diamond Trust Bank, ‘Canara’,I &M wote hawa nawasubiria sijakata tamaa. Click to expand... FNB zilikuwa uzushi, Diamond Trust wameshaita, I & M wameshaita.! Canara endelea kusubiri bado hawajaita wanakamilisha registration kwanza za bank.
M Mtanzanyika JF-Expert Member Feb 12, 2015 368 425 Apr 20, 2016 #6 Rickboy said: Nadhani kampuni zibadilishe utaratibu, endapo mtu akikosa angalau ajulishwe kupitia hata sms, mail n.k. Click to expand... Kwa stage ya kabla hujaitwa interview ni ngumu sana., ila ukiitwa interview mfano kutoka written kwenda oral au oral kwenda kuitwa kazini kampuni nyingi huwataarifu wote waliopata na waliokosa..!! Pia kazi za benki ni bahati nasibu sana Mkuu,
Rickboy said: Nadhani kampuni zibadilishe utaratibu, endapo mtu akikosa angalau ajulishwe kupitia hata sms, mail n.k. Click to expand... Kwa stage ya kabla hujaitwa interview ni ngumu sana., ila ukiitwa interview mfano kutoka written kwenda oral au oral kwenda kuitwa kazini kampuni nyingi huwataarifu wote waliopata na waliokosa..!! Pia kazi za benki ni bahati nasibu sana Mkuu,