Rais wa TLS, Tundu Lissu amesema, wanachama wamepitisha azimio la kumvua uanachama Waziri Mwakyembe na kuwa wanasubiria maamuzi ya viongozi.
Mwakyembe alitishia kuifuta TLS hivyo kuhatarisha uhai wake kwa maslahi yake binafsi na watu wake!
Pongezi kwa uongozi wa TLS na wanachama waliopitisha maazimio hayo..!