Mfalme_wa_Nyika
JF-Expert Member
- May 24, 2023
- 404
- 923
Wadau,
Napenda kupata tu ushauri, ninachotaka kufanya sifanyi na ninachofanya sio ninachotaka kufanya..
...
Nisikuchoshe ni hivi, mwaka jana nilishawahi kulala na mwanachuo fulani kumbe ni muathirika na baada ya kutumia PEP niliponea shimo la moto kwani mpaka wa leo mimi ni mzima wa afya...nikajiapiza sitaki tena mahusiano holela na nitaamua kuoa ila wapi ubinadamu kazi nikasahau tabu nilizopata wakati wakumeza ile midawa...
Kiufupi tokea mwanzoni mwa mwaka huu nimezama kwenye penzi la mshangazi ambaye kiumri kanizidi kama miaka 15 ni yupo kwenye miaka 44/45 ila ni pisi wa kuotea mbali, huyu ni single mother na hajawahi kuolewa na ana mtoto mmoja anaishi ulaya kwani alizaa na mzungu...
Kifupi nimetokea sana kuvutiwa na mshangazi kwani tokea nipate mabalaa mwaka jana watoto wa 2000 sina hamu nao tena kama nimepata mapepo yakuvutiwa na mishangazi, ....
Sasa nimekaa nimewaza kama watoto wa 2000 niliwahi kukuta ameungua...je huyu mshangazi hata kuja kuniunguza kweli!? Kwa maana kabla ya kuwa na mahusiano naye tumepima afya zetu kila tu tuko sawa na mimi kutumia condom siwezi so namla mshangazi nyamanyama kwa kwenda mbele...
Zaidi, niko katika umri wa kuoa, kwani nina zaidi ya miaka 29, ila sioni umuhimu wa kuoa kabisa na niko kawaida yaani siwazi, hivi niko sawa kweli!? Au kuna pepo niende kwa mwamposa aniombee!?
Nimeridhika kukaa na mshangazi, kifupi naona ni bonge la pisi yaani sitaki wasichana wa umri wangu au chini ya umri wangu...
Cha ajabu mimi ni mtu nina maisha yangu so sio kuwa ni marioo nina kila kitu kwa maisha ya kati ya kitanzania mtu kuwa nacho ila nataka kuoa ila sitaki kuoa sijielewi...kwani by the age of 25, nilishakuwa na nyumba, magari mawili na asset kadhaa kama mashamba nk na kazi inayonipa kipato na biashara zingine za kujiongeza, ninachopenda tu ni kuwa na quality time na mshangazi wangu....hilo tu na jinsi anavyonijali yaaani napenda wanawake walonizidi umri na siwezi kukaa wiki moja sijafanya mapenzi naona kama ntaumwa....
Sijielewi